tetea tete
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 388
- 127
Mbona MNA wasiwasi Na ujio Wa Mh. Lowassa chadema? Maccm bwana hofu tupu
Kuna mambo umekuja kuyajuwa ukubwani ndio maana unapata shida!!!Kama Lowassa angepitishwa kugembea urais kupitia CCM, hoja kubwa ya CDM na UKAWA wakati wa kampeni ingekuwa ni ufisadi ndani ya CCM wakimhushisha moja kwa moja Lowassa na ufisadi huo. Ilikuwa ni moja ya sababu ya CCM kutompitisha Edward Lowassa.
Haingii akilini viongozi hao hao wa CDM wampokee Lowassa huyo huyo. Inaweza kuwa njia rahisi ya CCM kuonyesha unafiki wa viongozi wa CDM wakati wa kampeni na kufanya mgombea wao kupita kirahisi.
Kibaya zaidi, kumpokea Lowassa ndani ya CDM kutaleta majeraha ndani ya chama kiasi kwamba watu watapoteza imani kabisa. Mnufaika pekee wa Lowassa kupokelewa CDM atakuwa Zitto Kabwe na ACT.
Mimenusa hisia na joto la wengi kuhusu hoja ya kumkaribisha Lowasa CHADEMA - Madhara yake ni makubwa kuliko viongozi wanavyodhania. Huu ndio ukweli wenyewe:
Hata kama Lowasa angepitishwa kuwa mgombea wa CCM, bado UKAWA wangefanya vizuri maana wananchi wanakiu ya mabadiliko.
Kitendo cha Kumpitisha Magufuli kimefanya kazi ya kuichachafya CCM kuwa nyepesi zaidi maana wafuasi wa Lowasa wengine bado ungekuwa mtaji wa UKAWA hata bila kumuingiza Lowasa katika kundi la UKAWA.
Kumkaribisha Lowasa na kundi lake ni Ku-bland UKAWA, haitauwa UKAWA tena maana wanaokuja na Lowasa ni waliopitisha KATIBA mbovu, vita yetu tutakuwa tumeipoteza kwa kujisalimisha kwa adui kia aina.
Lowasa na Kundi lake ni kama mbwa mwitu. watakao baki salama ni CCM maana wao magamba yatakuwa yamevuka, yamevaliwa na CHADEMA. Chadema yenye Rostam Azizi, Karamagi, Kingunge, Lowasa, n.k siioni kama CHADEMA ya kuleta nafuu kwa walalahoi. itakuwa ni Muungano wa CCM na CHADEMA, hapo itikadi na harakati zinatakiwa zibadilike, wananchi hatukuunga nkono CHADEMA mfanye hayo.
Hii agenda ya kumpokea Lowasa mmeitoa wapi? Mbona Wabunge wa upinzani wachache waliokuwa bungeni ndio wameshawishi watu wengi kuiunga mkono kwa sababu ya hoja zao? kwani nilini Lowasa alisimama bungeni akatoa hoja ya kueleweka? Lowasa anamtazamo gani kuhusu katiba Mpya?, kuhusu ufisadi?, kuhusu muundo wa muungano? atanadi vipi ilani ya uchaguzi asiyoiamini? au kunanini hasa la ziada?
Lowasa na kundi lake wakiingia CHADEMA, wengi tutatoka CHADEMA na iko siku viongozi wote mtajikuta mnatakiwa kutoka nje ya CHAMA kwa njia ya nguvu ya vikao na katiba ya chama halafu wanabaki wao. Huu utaratibu wa mtandao hawatauacha utawatafuna nyie mnao wakaribisha watu hawa. Itakuwa kama MREMA na TLP na Ngawaiya.
Nguvu ya CHADEMA kwa sasa ni kubwa, achana na agenda ya LOWASA kuja CHADEMA, tuletee ngombea wetu asiye sehemu ya watu wa LOWASA, sisi tumeisha jiandikisha, na tunasubiri masanduku ya kupiga kura. CHADEMA bila LOWASA inawezekana. MBOWE, anayekushauri ati utapata mtaji wa watu anakuongopea. wao kama wamechukia si watupigie kura tu, unatosha. usichafue chama. Hoja yetu kwa muda mrefu ni kwamba CCM ni mafisadi, akina LOWASA, ROSTAM AZIZI, KALAMAGI, sasa wamekuwa wasafi lini? yaani kukatwa kwa LOAWASA kumewasugua na kuwasafisha??? acha mzaha, sisi tuko serious na ukombozi wa nchi hii. Bora kukosa URAIS tukawa na wabunge wengi kuliko kuwa na LOWASA kama mgombea URAIS kwa CHADEMA.
Siku moja mtakumbuka maneno yangu.
Kuna mambo umekuja kuyajuwa ukubwani ndio maana unapata shida!!!
Mulize kinana faida ya lowassa kwa chadema ni nini!!
Baada ya kusoma post yangu, upeo wako umekufanya uamini kuwa mimi ni CCM? Soma tena!
Ndivyo ilivyo, si rahisi wote wakaunga mkono jambo Fulani, na hata huko CCM si wote wanaunga mkono uteuzi wa John P.J. Magufuli kupeperusha bendera ya CCM ktk uchaguzi mkuu huu!Mkuu Papa1 nakuunga mkono sana.
Kweli hata mi nimesema mara nyingi siungi mkono Lowas seea apeperushe bendera ya vyama vinavyounda UKAWA. Anaweza kujiunga na mojawapo ya vyama hivyo au kingine anachotaka kama mwanachama wa kawaida.
Ukweli mi nahisi Lowasa akipewa nafasi ya kupeperusha bendera ya Chadema chini ya mwavuli wa UKAWA, mwisho wa Chadema yenyewe utakuwa karibu kuliko tunavyofikiria. Matumaini ya ukombozi yatakuwa yamefika tamati.
Mafisadi wote wenye uchu wa kurudisha hela zao walizotumia walipokuwa wakimkampenia CCM wanaingia kwenye chungu. Nini kitabaki.
Naomba Mungu atuepushe na hili janga linaloinyemelea kuiangusha Chadema chama tulichokiamini kutukomboa.
Ni hayo tu
Mimenusa hisia na joto la wengi kuhusu hoja ya kumkaribisha Lowasa CHADEMA - Madhara yake ni makubwa kuliko viongozi wanavyodhania. Huu ndio ukweli wenyewe:
Hata kama Lowasa angepitishwa kuwa mgombea wa CCM, bado UKAWA wangefanya vizuri maana wananchi wanakiu ya mabadiliko.
Kitendo cha Kumpitisha Magufuli kimefanya kazi ya kuichachafya CCM kuwa nyepesi zaidi maana wafuasi wa Lowasa wengine bado ungekuwa mtaji wa UKAWA hata bila kumuingiza Lowasa katika kundi la UKAWA.
Kaka ulichokisema sina cha kuongeza wala kupunguza hata kama ni nukta tu. Umenena mwawazo yangu na naamini ni mawazo ya wengi tunaotaka mabadiliko ya kweli. Mbowe should know this!