In the case of the Lion Air incident, it appears both lack of experience and poor training may have played a part. In fact, pilot error is the leading cause of commercial airline accidents, with close to 80% percent of accidents caused by pilot error, according to Boeing.May 22, 2013
BBC -...
After sale services huwa kuna vigezo vingi na very tricky, kwenye issues za technical sisi Watanzania bado ni mzigo sana na tutaendelea kuwa hivyo. Hizi ndege ni very new tech hapa duniani, sisi tumenunua hizi ndege bila ya maandalizi ya kukidhi kigezo cha operational & maintenance (O&M)...
Hili ni tatizo kubwa sana, hakuna mtu anayependa kunyanyashwa hata kidogo, sisi Tanzania Mungu katupa neema ya bandari na tena si moja, sasa yatupasa kuweka terms nzuri sana za kodi. Kwa kufanya hivi frequency ya products itakuwa ni kubwa sana hence income itaongezeka. Wafanya biashara sasa hivi...
Terms za kodi kwa nchi jirani ni rafiki sana, kikubwa ni kwenda china funga mzigo kisha Dar es salaam port mzigo unakuwa ni in transit. Kalipie kodi Zambia, Malawi, Mozambique na fungua biashara uko, inalipa vizuri sana. Tunayo bandari nzuri lakini siyo tija kwa Watanzania, tuweke kodi rahisi...
Hizi kesi ni balaa tazameni hii link tena U.S. firm seeks $561 million from Tanzania in power supply dispute
Nasikia tayari kesi I naendelea Ufaransa uko.
Huyu ni miongoni mwa marais ambao nawapenda sana. Sikiliza kiswahili chake na jinsi anavyoelezea mpaka ya bunge? Mahakama na serikali toka kwenye video hii.
Kuna hela za wahisani zimetumika ndiyo sivyo, anaelezea vizuri sana bila hata jaziba hatua zinazopashwa kuchukuliwa.
Big up president...
Nimefurahishwa sana na icon ya ndege yao. ATCL hiyo icon ya twiga naona tumekurupuka sana, mnyama twiga nampenda lakini jinsi alivyowekwa pale si nzuri. Pendekezo langu waitwe wasanii na kutafuta icon bomba very soon!
Nawakilisha.
Je nikiisaga kwenda powder nikaiweka kwny solution ya maji na sulphuric acid kisha nikatumia electrowinning ajili ya kondoa pure cu si naweza kuendelea kuprocess for pure gold?
Duuh!
Hii siasa sasa tunapoelekea kwa kweli ni mashaka matupu, ni rahisi sana kuharibu amani hii tuliyoijenga na kuzoeleka miaka.
Kinachotokea sasa hivi ni doa tutakalo kuja jutia.
Jamani kwa kukumbushana tu! Ndiyo maana yale maamuzi ya kuchoma moto vifaranga tokea Kenya ni muhimu sana. Controls ya viumbe na mimea ni critical inaweza kuleta mfumo wa magonjwa balaa.
Hii ni kuonesha sehemu tu ya utajiri wa hii familia ya Gupta huko south Africa. Serikali ya South Afrika imetaifisha magari ya kifahari hili kuyauza na kurejesha fedha za walipa kodi wa uko.
*GUPTAS PORSCHE CARS SEIZED TO RECOUP STATE FUNDS*
More than 100 deluxe cars belonging to the GUPTAS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.