Rais Filipe Nyusi wa Mozambique

Rais Filipe Nyusi wa Mozambique

Ruby Morogoro

Senior Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
161
Reaction score
83
Huyu ni miongoni mwa marais ambao nawapenda sana. Sikiliza kiswahili chake na jinsi anavyoelezea mpaka ya bunge? Mahakama na serikali toka kwenye video hii.

Kuna hela za wahisani zimetumika ndiyo sivyo, anaelezea vizuri sana bila hata jaziba hatua zinazopashwa kuchukuliwa.

Big up president Filipe Nyusi!

View attachment VID-20180419-WA0023.mp4
 
Wamechukua mkopo mkubwa bila idhini ya bunge na fedha hazieleweki zimetumikaje.
Aibu sana nchi za kiafrika.
 
Akina Philipe Nyusi na Joakim Chissano walifichwa Kwenye Milima ya Odzungwa wakati Frelimo inapambana Na Wareno na Kama Makonda angekuwa RC wa Morogoro Pengine Muda huu kungekuwa Na wito wa kutekeleza Watoto unawahusu hawa Wazee
 
Back
Top Bottom