YHK geneous
Senior Member
- Jun 24, 2017
- 188
- 122
Msichana wa kazi za ndani anahitajika sana maeneo ya mbagala kipati. Umri mzuri ni chini ya miaka 25 ata akiwa zaidi ya 25 tunaeza kumfikiria. Ata kama hana uzoefu ila awe mwepesi kuelewa na awe mchapakazi.
majukumu ni kufanya Kazi za kawaida za ndani pamoja na kukaa na mtot.
Kama upo serious ni PM chap au kam unajua mtu alipo njoo tuongee biashara.
Asanteni sana
majukumu ni kufanya Kazi za kawaida za ndani pamoja na kukaa na mtot.
Kama upo serious ni PM chap au kam unajua mtu alipo njoo tuongee biashara.
Asanteni sana