Recent content by Rubeboy

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete Naomba Waziri Wa Fedha Anirudishie Pesa Zangu

    umenena sana bingwa kamwamu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Haya Mambo Huwezi Kuwa Umepitia kama Umezaliwa Baada ya Mwaka 90...

    kunyolewa kwa mkasi alafu wembe ndo wanatumia kukuchonga kichwan kwa mbele
  3. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kubadili username

    Habar wanaJF, Naomba msaada wa kunijuza jinsi ya kubadili username hapa JF kwasababu hii ninayotumia sasa inatatiza wengi endapo nikipost uzi..mimi ni msichana ila username ni ya kiume msaada kwa hilo wakuu ili niweze kubadilisha asanten
  4. R

    JamiiForums Tanzania NSSF wameita for interview

    Umeongea kaka lakn mkuu cjaelewa kitu kimoja hapo hizo intrvw mlizoitwa mlituma maomb lin coz 1 december walitangaza nafac za kaz nilappy ko cjajua ka ni hizo walzowalizo tangaza mwanzo mwa mwe huu.nijuze bro
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa ya kazi za kihasibu, kazi za kuuza duka la jumla

    Mimi ni msichana nmemaliza diploma ya uhasibu june 2014 nmekuja hapa jamvini kwenye jukwaa la GREAT THINKER natumaini nitasaidika natafuta kazi za kihasibu,kuuza duka la jumla,kazi za mapokezi pia naziweza,napokea ushauri na msaada wowote NIPO MWANZA
  6. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa hili wanawake wenzangu wanaJamiiForums

    Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22. Ni mda mrefu sasa nimekuwa na matamanio ya kuwa na hips na makalio makubwa kiasi flani cha kumvutia mtu yoyote atakae niangalia, matamanio yangu hayajaishia hapo tena huwa natamani sana kuwa na miguu mizuri ya kuvutia hata nikivaa nguo ya kuishia...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mjasiliamali14

    Habar mkuu mjasiliamal14 mm ni yule bint ni naye tafuta kaz ya mhasib msaidiz nilkutumia post kwa kuijib post yako vp kuna njia nyingne ya kunisaidia..mm nipo mwanza asante:confused2:
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mjasiliamali14

    Habar mkuu mjasiliamal14 mm ni yule bint ni naye tafuta kaz ya mhasib msaidiz nilkutumia post kwa kuijib post yako vp kuna njia nyingne ya kunisaidia..mm nipo mwanza asante
  9. R

    JamiiForums Tanzania Highest Paying Jobs in Tanzania

    mmh mmh mmmh mmmh mimi sipo
  10. R

    JamiiForums Tanzania Vacancy: Sales/marketing needed urgently

    mkuu asante kwa taarifa
  11. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, mhasibu msaidizi

    Asante nimeangalia mkuu
  12. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, mhasibu msaidizi

    mkuu mimi ni mgeni kwenye jamvi hili la jf, hii ni post yangu ya kwanza bado sijaruhusiwa pm mpaka nifikishe post 5..naomba unijulishe kwa njia nyingine mkuu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, mhasibu msaidizi

    Nipo mwanza
  14. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, mhasibu msaidizi

    Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22.Nimehitimu diploma ya uhasibu june 2014.Msaada kwa mwenye taarifa ya kazi za kihasibu kwenye taasisi yoyote hata kwenye maduka ya bidhaa za jumla...ASANTENI:smile-big:
Back
Top Bottom