Mwenye taarifa ya kazi za kihasibu, kazi za kuuza duka la jumla

Rubeboy

Member
Nov 3, 2014
15
0
Mimi ni msichana nmemaliza diploma ya uhasibu june 2014 nmekuja hapa jamvini kwenye jukwaa la GREAT THINKER natumaini nitasaidika natafuta kazi za kihasibu,kuuza duka la jumla,kazi za mapokezi pia naziweza,napokea ushauri na msaada wowote NIPO MWANZA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom