Recent content by rubby110

  1. rubby110

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Juma Nyoso?

    yupo hapa kwa mama halima anaagiza mihogo...
  2. rubby110

    JamiiForums Tanzania Vunja bei iphone 6, 6s na 6plus

    ]Pata iPhone mpya na used kwa bei ya kusafishia duka kabisa kama ilivyooneshwa kwenye picha serious buyers Njoo inbox
  3. rubby110

    JamiiForums Tanzania Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

    hata mimi nimechora jikoni
  4. rubby110

    JamiiForums Tanzania NANI anataka tutukanane?

    NANI anataka tutukanane ili nitoe stress maana sio kwa hzi kazi za kwenda ofisini kwa mwendokasi alafu unasikia mtu ana viwanja 25,maghorofa 7,nyumba 25... Alafu eti GSM wanatengeneza malori na viberiti eeeh?
  5. rubby110

    JamiiForums Tanzania Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    na bado wanakata paye... uhusiano uliopo kati ya wafanyakaz na hii mifuko ni uhusiano wa kimkataba.. inakuaje sasa upande mmoja unafanya maamuzi ilhali upande mwengne upo... what happened to acting in a good faith..
  6. rubby110

    JamiiForums Tanzania Hili kuhusu mifuko ya penshen kutotoa hela hata ukiresign mpaka ukifika umri wa kustaafu limekaaje

    kwa niliyoyaskia ni kwamba mtu sasa uki resign kazi huwez kupewa hela yako mpaka ufikie umri wa kuresign.. je kuna sheria mpya iliotolewa kuongelea hili.. msaada
  7. rubby110

    JamiiForums Tanzania Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    kwa niliyoyaskia ni kwamba mtu sasa uki resign kazi huwez kupewa hela yako mpaka ufikie umri wa kuresign.. je kuna sheria mpya iliotolewa kuongelea hili.. msaada
  8. rubby110

    JamiiForums Tanzania Kamera za CCTV kuwekwa barabarani Dar es Salaam

    lugumiiii.. njoo na huku kuna Kamera za kufunga blaza...
  9. rubby110

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Polisi inawashikilia watu 11 kwa tuhuma za ubakaji na udhalilishaji wa mwanamke

    sasa naanza kuelewa kwann wanataka Kamera zifungwe gesti na Lodge
  10. rubby110

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Adaiwa kuficha tani tele za sukari Moshi

    wanatutunzia baadae watatugea tutengenezee juice ya ukwaju
  11. rubby110

    JamiiForums Tanzania Afande Mpinga, huyu traffic wa Ubungo anapendelea!

    bado upo kwenye foleni?
  12. rubby110

    JamiiForums Tanzania Mbunge Salum Khamis Salum 'Mbuzi' (CCM) apewa mgodi hifadhini!

    madhara ya kuwa na watumishi wa serikali ambao ni wafanyabiashara ....
  13. rubby110

    JamiiForums Tanzania Hakuna ufisadi wowote katika Mkataba kati ya LUGUMI na Jeshi la Polisi

    huu mchezo hauitaji hasira... watu povu linawatoka...
  14. rubby110

    JamiiForums Tanzania Hakuna ufisadi wowote katika Mkataba kati ya LUGUMI na Jeshi la Polisi

    alafu weweeee..... mi staki buana..
  15. rubby110

    JamiiForums Tanzania Hivi huu mradi uwanja wa ndege JKN ni wa nani?

    Sehemu ya kuingilia airport ya JNIA kuna kamgahawa kamejengwa ambapo panapita lami je, ni sawa kusema eneo ilipojengwa hii ni eneo la wazi na kwamba mwengne anaweza jeng pembeni yake au ndio dalili za jipu. Tunapoongelea swala la mipango miji je hatuoni kama kwenye mlango wa kuingilia na...
Back
Top Bottom