NANI anataka tutukanane?

rubby110

Member
Apr 4, 2012
20
6
NANI anataka tutukanane ili nitoe stress maana sio kwa hzi kazi za kwenda ofisini kwa mwendokasi alafu unasikia mtu ana viwanja 25,maghorofa 7,nyumba 25...

Alafu eti GSM wanatengeneza malori na viberiti eeeh?
 
Rubby......pumbavu wewe.......twende twende......bichwa kama lipumba kazodolewa alivyorudi CUF................twende twende ......hips kama mkoba wa kinyozi.....
 
Hakuna kigezo cha u timamu kuingia mtandaoni, ili mradi ukumbuke jina la mtumiaji na nywila!
 
Mishipa imekutoka mikononi kama umepigwa wiring!
Ngozi nyeusi kama kioo cha flat screen ya sony.
 
Back
Top Bottom