Yuko wapi Juma Nyoso?

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,628
6,669
Baada ya kupigwa adhabu ya kukaa nje ya uwanja kwa miaka miwili tangu september 2015.

Beki kisiki wa Mbeya city Juma Nyoso amepotea kabisa na sijapata kusikia ni wapi aliko anajishughulisha na nini huko zaidi ya soka

Hivi ile adhabu ndio ilikuwa angamizo lake yaani Nyoso hata jukwaani huwezi mkuta!

Uko wapi Nyoso, dawa yao Maguli, na John Boko?
 
Baada ya kupigwa adhabu ya kukaa nje ya uwanja kwa miaka miwili tangu september 2015

Kilichomponza ni kuiga mambo ya nje wakati yeye yuko bongo ambako timu kubwa ni simba na yanga nazo ni kubwa kwa fitina tu
 
Baada ya kupigwa adhabu ya kukaa nje ya uwanja kwa miaka miwili tangu september 2015
Beki kisiki wa Mbeya city Juma Nyoso amepotea kabisa na sijapata kusikia ni wapi aliko anajishughulisha na nini huko zaidi ya soka

Hivi ile adhabu ndio ilikuwa angamizo lake yaani Nyoso hata jukwaani huwezi mkuta!

Uko wapi Nyoso, dawa yao Maguli, na John Boko?
Yupo maeneo ya kagera /manzese na wasela wenzake
 
Mwaka Jana tulicheza nae ligi fulani alikua amechukuliwa kama ndondo... Alicheza namba sita tukachafuana sana pale kwenye dimba.
NB : pichani ni team captain wetu na Nyosso.
71a285acaf1ba9b2ff40194f1d54b380.jpg
 
Back
Top Bottom