Recent content by Rubber legs

  1. Rubber legs

    Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    Na pia Rockafellers ndo wanaown media kama CNN,BBC,NBC,wanacontrol entertainmnt system from movies to music wakiwa na Wyatt family,kuna documentary inaitwa Zeitgiest na kitabu witchcraft and the illuminati,kimeeleza sana kuhusu hao watu
  2. Rubber legs

    Uendeshaji wa makosa ya jinai

    Kuna sheria inaitwa criminal procedure act cap 28,unaweza kuigoogle halafu ukasoma kifungu cha 128
  3. Rubber legs

    Uendeshaji wa makosa ya jinai

    Jamhuri,hakimu na hata mtu binafsi anaweza peleka lalamiko kwa hakimu na ikawa reduced into writing na hakimu kwa mahakama za mwanzo,ila shtaka la jinai jamhuri ndo italiendesha sababu ina majukumu ya kulinda raia na mali zake
  4. Rubber legs

    NBA Season 2015 - 2016: Special thread

    These kids are fired up wandugu,topic closed
  5. Rubber legs

    NBA Season 2015 - 2016: Special thread

    Sijui uko wap Thabeet...leo GSW wameshinda game ya 9 straight,steph kapga buzzer beater 3,they are on fire kwa kweli...its a gud team sana,squad kubwa na ina uwezo
  6. Rubber legs

    NBA Season 2015 - 2016: Special thread

    And the good thing about GSW,the whole team is angry on winning,H.Barnes,Andre,Klay,Green,they gat speed,skills and drills,i support them as title favourites
  7. Rubber legs

    NBA Season 2015 - 2016: Special thread

    Tha kid is on fire,he might do even bigger things this year,last,nyt wamempga kings
  8. Rubber legs

    NBA Season 2015 - 2016: Special thread

    Currymatic ni noma
  9. Rubber legs

    ZEC 50 inch led flat screen tv for sale

    Ipo bara au visiwani
  10. Rubber legs

    Ukizikumbuka hizi movie unakumbuka nini miaka hiyo?

    Anhaa,snake in the eagles shadow,Jackie alikua student wa school flani then akafundishwa snake style na Yuen Sien Tien
  11. Rubber legs

    Tuma salamu kwa mpenzi, mke, mume ama mchumba ambaye hutomsahau

    Salamu zimfikie demu wangu nliyemfumania...ulikua na mkarimu ila una moyo na roho ngumu
  12. Rubber legs

    Ukizikumbuka hizi movie unakumbuka nini miaka hiyo?

    Drunken master,SOLO,the bodyguard from Beijing,1st Blood 1,2,3,American Ninja,snake in the monkey shadow,terminator
  13. Rubber legs

    Ni aibu kwa jeshi la nchi kupigana na wananchi wake

    Hata wafanyaje,mabadiliko ni lazma,na wanapata bosi mpya sasa
Back
Top Bottom