Recent content by Rubawa

 1. Rubawa

  Rai ya Mzee Aboud Jumbe na Utakatifu wa Nyerere

  RAI YA MZEE ABOUD JUMBE NA UTAKATIFU WA NYERERE Ukiachilia mbali kitabu chake cha THE PARTNERSHIP, (Miaka 30 ya dhoruba Muungano wa Tanganyika na Zanzibar) Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya...
 2. Rubawa

  Eduardo Dos Santos: Rais Aliyeyafisidi Mapinduzi ya Angola

  Eduardo dos Santos: Rais Aliyeyafisidi Mapinduzi ya Angola Ni nini Afrika kama bara inaweza kufanya kuiepusha na viongozi wa aina ya kina Dos Santos? Jibu linaweza kuwa gumu kuliko swali. Mnamo Julai 8, 2022, Rais wa awamu ya pili wa taifa la Kusini mwa Afrika la Angola, José Eduardo dos...
 3. Rubawa

  Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

  Tunamkumbuka kama Shujaa wetu na mtu mwenye mapenzi ya kweli na kisarawe alikuwa mkurugenzi wa Bandarini ila Faida yake mpk Leo baadhi vizazi bado ipo sio yule bwana waziri anafaida yeyote zaidi ya kuongeza wake... Tunamsubiri kwa Hamu 2025...
 4. Rubawa

  Je, DPP atalazimika kuiondoa Kesi ya akina Halima Mdee kama alivyofanya kwenye Kesi ya ugaidi ya Mbowe?

  Wenye akili timamu tumekuelewa japo wewe ni Mwana kijani ila kwenye ili umesema Ukweli Mtupu ndio maana msimamo wangu kuhusu Afrika ni kwamba Bwana Trump alikuwa sahihi juu yetu watu weusi...
 5. Rubawa

  Bulawayo, Zimbabwe 1993

  Tatizo letu weusi ni kubwa kwanza atukuwa tayari kujitawala Trump alikuwa sahihi juu yetu watu weusi...
 6. Rubawa

  Maisha halisi nchini Marekani

  Afrika yetu ni Animal Farm...
 7. Rubawa

  Miaka 58 ya Muungano, nafasi ya Rais Samia kuzimaliza kero.

  Miaka 58 ya Muungano, nafasi ya Rais Samia kuzimaliza kero. Viongozi waliomfuatia Sheikh Karume walikuwa na udhaifu wa kupigania marekebisho ya Muungano na kuondoa kero zilizokuweko na ambazo zikiongezwa kwa makusudi na upande wa pili. Sababu inaweza kuwa ni kuyojiamini au kuhofia yaliomfika...
 8. Rubawa

  Miaka 58 ya Muungano, nafasi ya Rais Samia kuzimaliza kero.

  Happy Muungano day naomba nitumie fursa hii kuwa kumbusha ndugu Ndugu Zangu Wanzanzibar kwa kipindi chote cha miaka 58 ya Muungano imekuwa ngumu kwao ukweli ulio wazi ni km wamekuwa mateka ndani ya Muungano ila Wakati ni Huu wa kuweka mambo Sawa wote tunajua Fursa iliyopatikana naweza kusema...
 9. Rubawa

  Hali ya upatikanaji Maji Dar es Salaam ni shida. DAWASA iwajibike

  Mnataka maji ya Uhakika halafu wakija kwenye Kampeni Waseme wataleta nini mkiwa chagua shida ya Tanzania na Afrika nzima kwa ujumla ni Je baada miaka 50 Uhuru kweli tulikuwa tayari kujitawala au Kuna Wajanja wachache tu Nia yao ilikuwa ni tusaidiane kumtoa Mkoloni weupe ili waje wao wakoloni...
 10. Rubawa

  Niishi vipi na mwanaume aliyetoka kuachana na mkewe?

  Kuwa mvumilivu na Subra umpe muda vile inshallah kila kitu kitakwenda salama...
 11. Rubawa

  Vituko mitandaoni. Tupia chako

  Nina hakika Mkoloni mweusi ni hatari zaidi ya Mkoloni mweupe Ndugu yangu mifano hapa kwetu Lissu Liberia chini Charles Taylor Afrika ya kati Kuna mtu anaitwa Bokasa Aibu...
Top Bottom