Kuoa Mwanamke wa Kizungu raha kweli

msukule mzembe

JF-Expert Member
Apr 28, 2022
243
294
Nilijaribugi kuoa mwanamke wa kizungu hakika wanajua mapenzi hawa viumbe

SIFA ZA WANAWAKE WA KIZUNGU

Wapo real sana sio watu wa drama

Wakikupenda wamependa kweli yani, hawana mambo ya kukupenda kwa kua una nini au nini ila wao ni kama nature yao

Ni wakweli na wavumilivu sanaaaaaaaaa

Wapo tayari kwa jambo lolote

Wanapenda seksi kuliko kula

NO FAKE LOVE

Ni wasafi na wazuri pia wanaakili za future

Love of my life ELLA a.k.a Mama Travota

I love you

vijana fanyeni muoe wanawake wa kizungu hamtojutia
 
nilijaribugi kuoa mwanamke wa kizungu hakika wanajua mapenzi hawa viumbe

SIFA ZA WANAWAKE WA KIZUNGU

wapo real sana sio watu wa drama

wakikupenda wamependa kweli yani. hawana mambo ya kukupenda kwa kua una nini au nini ila wao ni kama nature yao

ni wakweli na wavumilivu sanaaaaaaaaa

wapo tayari kwa jambo lolote

wanapenda seksi kuliko kula

NO FAKE LOVE

ni wasafi na wazuri pia wanaakili za future

love of my life ELLA a.k.a Mama Travota
i love you

vijana fanyeni muoe wanawake wa kizungu hamtojutia

Mama Travota???!!😀😀--- mzee na mtoto umeshamzalisha???!! au kamba??!
 
Dona na maharage pia anakupikia? Mkioa Wazungu mnasafisha vyombo na kupika, huku kwetu mkioa tu mnakua vilema mpaka maji ya kuoga muwekewe bafuni.
Ukweli ni Huu
IMG_20220430_233419.jpg
 
Dona na maharage pia anakupikia? Mkioa Wazungu mnasafisha vyombo na kupika, huku kwetu mkioa tu mnakua vilema mpaka maji ya kuoga muwekewe bafuni.
Tunatumia machine wash, shower, Rice cooker, blender , heater, kwaiyo kuoa mzungu Raha Sana mnapanga maisha pamoja kujenga pamoja na hakuna ndugu wanao tusumbua na kuingilia ndoa na hatuombwi pesa hovyo hovyo na hatuwaz kuwajengea wakwe zetu Nyumba na kuombwa kuwasomesha mashemeji kwa kifupi vijana wenzangu ukitaka kufanya maisha yenye Marengo bas tuoe wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani unashindwa kununua vyote hivyo ukiwa umemuoa Mwajuma Ndala Ndefu? Kujengea wakwe nyumba ni hiari si lazima na usiposomesha mashemeji watakua omba omba kwa wanao.

Afrika hatuna Social security funds, familia tunabebana.
 
Inategemea ni mwanamke gani wa kizungu umekutana nae
Wapo wa Kila aina Kuna gold diggers wengi kuliko hata hawa wa kwetu usiombe kukutana nao
 
Dah. Leo pekee umeanzisha sredi 8.

Humu humo umeshaoa mzungu, umeshapigwa roba na panya road, umeshamsifia marehemu prezidaa, ukawawaita wanaume wa kiafrika wajinga na pia ukaomba marafiki wa kike na wa kiume humu humu.
🙄🙄

kapumzike kesho pia ni siku.
 
Kwani unashindwa kununua vyote hivyo ukiwa umemuoa Mwajuma Ndala Ndefu? Kujengea wakwe nyumba ni hiari si lazima na usiposomesha mashemeji watakua omba omba kwa wanao.

Afrika hatuna Social security funds, familia tunabebana.
Mfano wewe huwezi kujenga maisha yako wakati Mama yako na wadogo wanalala sehemu duni lazima utataka uboreshe maisha ya nyumbani Kwanza ndiyo uwaze kujenga maisha na mwenza wako miaka mingi mtakuwa mnadili na matatizo ya familia zenu kuliko kudili na kujenga uchumi wa familia yako na mwenza wako, nitofauti ukioa au kuolewa na mzungu chakwanza mtapanga mipango pamoja ya kiuchumi na kifamilia na hata mwenza akitangulia mbele za aki huwezi kusikia migogoro ya kugombea mirathi kutoka upande wa wazazi na ndug.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom