Habari wana JF,mimi ni kijana wa miaka 21,kuna msichana 2lizoeana sana paka ikafikia akawa ananiletea visuprise vidogo vidogo,baada ya mda mrefu nilimwambia yamoyoni kwangu,hakunijibu,akasafiri juzi juz amerudi tukawa tunapiga story za kawaida,juz akanipa sim niongee na kaka yake,kaka yake...