Ukiona hivi.....sema sala zote!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,171
View attachment 67290

Wakuu nikuwa kulee Nyanda za Juu Kusini,basi pale kwenye kapori ketu ka Sao Hill, mahali ambapo kamwendo kanakubali vizuri.

Ghafla baada ya kilima unaliona lori linakuja kwa mwendo kasi liki ovateki lori jingine!!
Hakuna jinsi, sala kwanza na kuyashukuru maisha uliyokwisha yaona!!!!!
 
...........ajali haina kinga lakini zingine ni makusudi. dereva wa lori linalo-overtake kavuta bangi so haoni kitu mbele.
 
Ni kweli kabisa.......hapa inabidi uombe Mungu.....lakini kula kichaka ujaribu kuokoa maisha kwa kupinduka vichakani na sio kukanyagwa na hilo dude
 
Masopakyindi gwaponile kikolo, ulinkafu? wasiwasi ni ujinga lakini ni akili. Kyala nnunu mwee, akupokile.
 
Huwa napata shida sana kujua madereva wa namna hii kama wanakuwa wameacha familia nyumbani.

Ni vena kuanza kuwapima madereva njiani kuona kama wanakuwa wamekunywa pombe au kuvuta bangi na hata madawa ya kulevya.
 
Masopakyindi gwaponile kikolo, ulinkafu? wasiwasi ni ujinga lakini ni akili. Kyala nnunu mwee, akupokile.
Gwe naponile kikolo, but I was shaken!!
Ukifikiria Lori lilolua pale Mbalizi na kumkosakosa Mbunge Mary Mwanjelwa only a week earlier.
 
masopakyindi .. huyu kichaa mwingine ni 400 km/h

Alafu angalia speedometer yake ... 60 hadi 140 km/h tairi moja limenyanyuka juu! ... (anatembelea tairi moja!!!)

Last edited by a moderator:
View attachment 67290

Wakuu nikuwa kulee Nyanda za Juu Kusini,basi pale kwenye kapori ketu ka Sao Hill, mahali ambapo kamwendo kanakubali vizuri.

Ghafla baada ya kilima unaliona lori linakuja kwa mwendo kasi liki ovateki lori jingine!!
Hakuna jinsi, sala kwanza na kuyashukuru maisha uliyokwisha yaona!!!!!

ulitoka hai hapo mkuu masopakyindi
 
Last edited by a moderator:
Nashauri kabla ya kuruhusiwa kuendesha Lori au Gari la abirMadereva wetu aia, ni muhimu kila dreva apimwe akili:

View attachment 67294
Hawa madreva hawajifunzi hadi wafe!!!!! Shida kubwa kwa wengi wa watumiaji wa barabara ni kukosa uvumilivu!!!!!

masopakyindi .. huyu kichaa mwingine ni 400 km/h

Alafu angalia speedometer yake ... 60 hadi 140 km/h tairi moja limenyanyuka juu! ... (anatembelea tairi moja!!!)

Hii ilikuwa inaendeshwa na mtu au jini? ni chombo kinachotumia barabara au anga? Hapa duniani kweli watu hawaogopi kuumia!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom