Chini ya dakika 1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chini ya dakika 1

Discussion in 'JF Doctor' started by Rtd, Oct 17, 2012.

 1. R

  Rtd Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomben ushauri,nimeanza kufanya mapenzi hv karibuni,tatizo langu nikimuandaa vya kutosha mwanamke,nikija muingiza mdude haimalz hata sekunde 30,namwaga mambo,nsaidien nifanye nin niwe imara,mcniponde ushauri wenu ndo muhm kwangu...
   
 2. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  "Over excited" Jaribu kabla ya kukutana na mpenzi wako husiwe over excited, itakusaidia kuchelewa kuejaculate.
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Unakuwa na matamanio makubwa na njaa ya muda mrefu, hivyo biologically you need to behave as you are behaving. Ni sawa na Pavlov experiment ya salvation!
   
 4. kijana15

  kijana15 JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 640
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Usikaze misuli ya mwili wakati una do. Jilegeze mwili hasa
   
 5. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,499
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Pole sana, hilo siyo tatizo kubwa na kiukweli, si tatizo; ni hali ya kawaida na inatokana na kumtamani sana huyo mwanamke. Endelea na bao la pili, hakika hilo utachelewa na huyo mpenzi wako atapata utamu.
   
 6. appoh

  appoh JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2016
  Joined: Mar 14, 2013
  Messages: 4,922
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  i
   
 7. appoh

  appoh JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2016
  Joined: Mar 14, 2013
  Messages: 4,922
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  natatua matatizo ya fuatayokwa kutumia formula ya matunda matatu na tangawiz pamoja na maj matunda hayo ni ndiz tikit maji na karot

  1,uume kutosimama vixur yaan legelege
  2.uume kusinyaa katikati ya tendo
  3.kuwai kukojoa
  4.kushindwa kusimamisha ukiwa faragha lakin kama hujazaliwa nalo tatizo hilo
  5.kinga ya mwili
  6.uchache wa shahawa low sperm count
  7.kushindwa kurusha manii
  8.kushindwa kurudia tendo

  fika ofisin kwangu chanika kijiji cha mhoro gharama ya formula ni elfu 30 kutokana na uchumi wetu watanzania waweza kutoa advance na kias kingine utamalizia baada ya kuona mabadiliko kwan tiba ni ya uhakika ndani ya siku tatu na haina madhara yoyote kwa ni matunda yasioyokua na chemikali

  kwa watakaopenda kutumia ujuz au formula hii online kwa njia ya whats app au email wanippigie mimi mwenyew 0712505049: na whats app0712505049
  dr .appoh
   
 8. d

  dagii JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2016
  Joined: Dec 23, 2013
  Messages: 3,179
  Likes Received: 1,093
  Trophy Points: 280
  Kula kiroba kabla ya game hutokuja tena humu kutaka ushauri
   
Loading...