Recent content by royna

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiumizwa usikubali kuua thamani yako

    :poa:poa
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiumizwa usikubali kuua thamani yako

    Ukweli kwenye maisha kuna watu wanaumiza nafsi za watu!Kuna mtu anakuuuuuumiza, mwingine anaishia tu kusema sorry, mwingine anakuona ndio kwanza unacomplicate maisha, mwingine anakupotezea tu na kuendelea na hamsini zake, ili mradi tu, wewe ndiyo unakuwa umebaki na majeraha ya ndani.Siku zote...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

    prof Kweka wa DS du!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaotaka kupungua

    that is wasting other people's time!
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

    angekuwa mzuri hivyo unavyomsemea naye si angekuwa kashaolewa?
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado nampenda msichana wa zamani

    kwa kweli hizi story za maex ni so boring!mi naanza kuwaza labda watu wasiwe wanaachana, wakikwaruzana, wasameheane kisha tu waendelee kuwa wote. Maana wanawaumiza sana wapenzi wapya kihisia!
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu za wanandoa nyingi ni chafu, hawaingii majumbani mwao mpaka wazisafishe

    ni huyo mmoja tu au ni wengi? mimi wangu yake ni safi kwa kweli!
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuoa

    mmmhhhhhhhhhhh!
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume aliyeowa anaweza ishi bila mke

    Jamani salaam zenu wote! Nimefanya utafiti usio rasmi na kugundua kuwa wanaume wa Afrika waliooa hakuna hata mmoja anaweza kuishi hata siku moja bila mke wake, akiweza ni kwa tabu na kuhangaika. 1. Hawapendi kupika 2. Hawapendi kutandika kitanda, akiamka na net hapohapo, akikaa akinyanyuka...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Togolese Ambassador In Nigeria Dies With Girlfriend In Sea Accident

    Mungu mrehemu mke wake!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa waliojiriwa au kujiajiri!

    Baada ya kuwa umechagua kazi uliyo nayo sasa, ungepewa nafasi nyingine, je ungesomea kazi hiyo hiyo au kufanya hiyo unayofanya kwa sasa? Kama hapana ni nini ungependa ufanye na kwa nini? Ni kazi ipi unafikiri inaoongoza kwa kuwafanya wanaoifanya wasiwe na furaha?
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wanaoudhi wengine

    1. Anaomba lifti, ukipata pancha anashuka kupanda daladala eti ana haraka. 2. Mtu umemsaidia mpaka akajitegemea, akapata kazi nzuri kuliko wewe, anaanza kusema mmh yani yule hana maendeleo kabisa. 3. Mtu akiona mko vizuri kwenye ndoa ooh, kamtawala....... 4. Mtu anakukopa hela, ukianza kumdai...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Najuta Kusoma hadi chuo Kikuu

    Baadhi ya sifa za mtu mwenye stress, ni kujuta, kuwa na mtazamo hasi, na kuangalia mambo ya nyuma. Aliyekuambia ukifika University utapata kazi baada ya wiki moja ni nani? Unapotafuta kazi ya kwanza omba kazi yoyote, hata kuwasaidia watu wanaoreseat masomo uliyosoma shule, ili upate nauli za...
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale mliopata wake/waume kupitia JF AU mitandao mingine uzoefu unaonyeshaje?

    wewe nawe utakuwa una matatizo. Koooooooooooooote huko ulikopita usipate mke au mmeuje kuvamia id usizozijua?eeeh jamani!
  15. R

    JamiiForums Tanzania Huu ndio MSHAHARA wa NHIF

    jamani nimecheka!''eti, asanteni kwa kunisikiliza''.nikajiuliza aliulizwa huyu?mwe huku jamii kuna mambo.asante kwa ujumbe.
Back
Top Bottom