TECHMAN
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 2,649
- 1,128
Hapana, amechange sana, before alikuwa anavaa glasses na after hana glassesMbona yupo vilevile?
Hapana, amechange sana, before alikuwa anavaa glasses na after hana glassesMbona yupo vilevile?
wewe ulivyosoma title ukadhani kapungua kilo au mwili? picha inaonyesha na inaeleza before alikuwaje na after yukoje, angalia picha vizuri kisha soma maandishi kwenye picha kwa makini.wabongo nao jaman kapungua nini hapo!!!!!!
Njoo kwangu nikupe tiba sahihi.... achana na tiba zinazofanyiwa utafiti. Nakusubiri PM u
apolojaiz...
Akuu! Asprin tiba zako zilipendwa, zinawafaa watu kama MankaM, miss chaga, Mahondaw na Honey Faith, niwache mi nibarizi visiwa mbalimbali na utafiti bhana.
Ndomana tumehamia pm, natafuta sehemu salama zaidi ya pm nadhan wozap inafaa sana
Nawe umezidi huruma sana bhana.... angalia usije nletea wajukuu kila mjukuu na baba ake.....
Ntakutia bakora za makalioni.
Uvumilivu umefikia kikomo.Mda wowote nakushtakia utafiti
Umeelewa vibaya jamani, kubarizi ni kufanyia hesabu utafiti wa kina. khaa!!!
Sasa hivi sisikilizi mtu tena namngojea miss neddy nimueleze kinagaubaga😀
Akuu! Asprin tiba zako zilipendwa, zinawafaa watu kama MankaM, miss chaga, Mahondaw na Honey Faith, niwache mi nibarizi visiwa mbalimbali na utafiti bhana.
Eti umesemaje??
Mbona hii ulinirushia? Hivi ulisema huyu ndo boifrendi wa Honey Faith au Apologise lady?Picha zote ni mali yangu, haziruhusiwi kusambazwa
Kweli huwezi bana..... Haya nambie hapa kulikoni wewe na miss neddy mumgombee utafiti namna hii??Jamani babu Asprin kwa jinsi nilivyo mjukuu wako naweza tembea na huyo sharo mie????😕
Mbona hii ulinirushia? Hivi ulisema huyu ndo boifrendi wa Honey Faith au Apologise lady?
[/QUOTE![]()
Ndio huyu huyu, hapo Honey Faith kafa kaoza, yeye anamwita sharobaro
Apologise lady kama wewe ndiye kwenye picha yako na hiyo gari yako nimekusamehe hata kukusemea kwa mdogo wangu🙁😀