Recent content by royalmind

  1. royalmind

    Sheikh aliyesemekana atasoma Alhul badr ahojiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Muheza

    Haisomwi bila sababu. Ikiwa mtu amedhulumiwa na imeshindikana kupata haki yake. Akiwa ni mzungu, mchina, mswahili au mfalme inampata ikiwa amefanya DHULUMA. Na ikiwa mtu hausiki na dhulma hiyo basi Albadiri inakurudia mwenyewe au inampata mtu wa karibu yako hata mtoto wako. Lakini majibu...
  2. royalmind

    My weather kaniacha mdomo waz

    Ukiwa na mmoja anasumbua sana. Mywether yupo sahihi
  3. royalmind

    Huruma ya wana CCM kwa wapinzani imetoka wapi?

    Huruma ya CCM ipo 1. Mwana chama wa ccm kutoa msaada wa ndege ndo ameiwakilisha ccm kwa ujumla. 2. Posho za milioni 43 kwa wabunge wote, pia ccm wamechangia. 3. Kujumuika pamoja kuanzia hospitali dodoma mpk uwanja wa ndege hata wabunge wa ccm walionyesha ushirikiano.
  4. royalmind

    Nani Role model Wako?

    Role model wangu ni Idriss Sultan Kwa Tanzania yetu
  5. royalmind

    Kwa hizi albadiri nilizozishuhudia leo hakyanani tujiandaeni kwa Msiba mzito Tanzania

    Zamani kijijini kuna mzee aliibiwa nazi kwenye shamba lake, kwa hasira akaenda kusoma albadiri basi aliezichuma, alieuza, aliezibeba na aliekula..wote walianza kupukutika mmoja mmoja Wazee wakaingilia kati jambo kama hilo lisirudiwe tena.
  6. royalmind

    Tetesi: Diamond Platnumz ampeleka Ommy Dimpoz polisi

    Ni vyema wasanii wakashindana katika kazi, na sio matusi.
  7. royalmind

    Jinsi Makonda alivyozishinda vita ambavyo hakuna aliyewahi kushinda

    Makonda ni jasiri na ana nguvu ya ziada..angekuwa mtu mwingine asingehimili mikiki mikiki na kuchafuliwa, pengine angejiuzulu au kupata presha na magonjwa ya moyo.
  8. royalmind

    Ukali wa mwanaume hudumisha ndoa?

    Usiwe mkali kupitiliza, 1. atauzoea ukali wako na atatafuta mianya kwenye mapungufu 2. Unaweza kukosa taarifa/ujumbe au kitu muhimu kutoka kwa mkeo sababu ya ukali wako. Mwanaume usiwe mkali, kuwa na msimamo.
  9. royalmind

    Wanawake hupoteza hamu ya ngono ikilinganishwa na wanaume

    Sample ya wanawake wa kizungu ipo tofauti na wanawake kutoka sehemu/nchi nyingine. Utafiti haujakamilika.
  10. royalmind

    Wanawake wanavyojiweka siku hizi, ndiyo husababisha wanaume wengi wajihisi hawana nguvu za kiume.

    Ukimuona mwanamke usoni mweupe halafu miguuni mweusi..my braza piga nae picha huyo ni pundamilia toleo la mwisho.[emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom