Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
Mwangosi na Mawazo ndio kina nani katika Taifa hili?Nani mwenye chuki kuliko mwengine? Lakini hata wakati wa mauaji ya Mwangosi na Mawazo pia hayakufanyika na wala CCM hawakuwa na huruma. Bado nauliza nini kimesababisha huruma hii kwa wana CCM ?