Recent content by royal tourtz

  1. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Hadi huruma. Samia Suluhu kawa mdogo. Kifo kisikie kwa jirani

    Alikuwa anasema wazazi waongee na watoto wao nje ya hapo risasi ni halali yao, ndio ujue uchungu wa kupotelewa na mpendwa wako ukoje!
  2. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya Lissu kupigwa risasi ndiyo Mume kaondoka!! ? Jitafakari ujumbe

    Kama vile una point
  3. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Takwimu zinaonesha wanawake wanapindua meza kwenye Uchumi na wanatumia 90% ya kipato chao kwaajili ya familia wakati Wanaume ni 35%

    Ukweli hata mimi namuunga mkono, na ukitaka kuamini hata kwenye mahusiano yaliyosimama asilimia 90 ya kuinuka kiuchumi inategemea na mwanamke.. Utakuta mwanamke anakopa vikoba anampa mwanaume afanyie kazi
  4. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Mbingu ya Waislamu inatamanisha na kusisimua kuliko ya Wakristo.

    Duh watu mnafikiri sana aisee
  5. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda 'kupumua' mbele yangu. Ananidharau au ndio mapenzi yenyewe?

    Mimi wanawake zangu wote ninapoanza mahusiano huwa nawaambia kujamba mbele yangu ruksa wala usiogope ila sio mda wa chakula
  6. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa watu wameuziwa udongo kikombe Tsh 10,000 kwenye Mkesha Usiosahalika kwa Mwamposa

    Ingawa amefanya na usivyotaka ila inaonekana anapenda mafanikio yako. Kuliko kukuwekea dawa za kichawi za roho mbaya ni bora alivyofanya kwa upendo
  7. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Karata yangu kwa SPAIN, kama unataka kubeti, mpe Spain utakuja kunishukuru

    Tuko wengi kumbe
  8. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Tumetembelea shule ya Ivumwe high school kuzindua mradi wetu mpya

    Duh mradi unaitwa swahili ila maneno english
  9. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Ukikosa msimamo utaona kama watu wanakupenda kumbe wanakutumikisha kwa sababu hujui kusema ' hapana "😔

    Na ukiomesha kukataa kutumikishwa nao wanakuchukia na wengine wanaacha kukusalimia. Mimi yamenikuta
  10. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania JD Vance amewafokea moja kwa moja mawaziri wa Israeli kwa mashambulizi yao binafsi dhidi ya Rais Trump

    Tusubiri truthsocial ya trump itasemaje
  11. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Israel Yaendelea Kumwaga Moto Lebanon, Iran wamefunga Rasmi Midomo

    Nje ya makubaliano yao ya iran na marekani ni kwamba kama israel ataendelea na mashambulizi anayewajibishwa ni marekani na israel
  12. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Utawala uliopita wa Iran uliofutwa na jeshi la Marekani na Israel usingeruhusu makubaliano haya, Utawala mpya umeanza kulegeza msimamo ?

    Kwani aliyekuwa anaendesha makubaliano ni nani kama sio khamnenei ila mtoto kama na ufumbuzi wa matatizo yote ambayo baba yake hakufikia
Back
Top Bottom