Recent content by Rosena

  1. R

    Watoto waliotekwa na kufichwa kwenye handaki huko Mabwepande

    jamani jambo hili bado linanilaza macho kwa uchungu nilionao kuhusu vitendo vya kinyama walivyosimulia watoto waliopatwa na mkasa huu. Ningependa kujua kama wahusika wamekamatwa na kama wale watoto wengine waliobakia huko kwenye hilo handaki wamepatikana. Hivi TIS ipo au Nyerere alipokufa nayo...
  2. R

    Mafuta ya Alizeti nayo hatari kwa afya - TFDA

    Hii mamlaka imenunuliwa na wenye pesa imesahau jukumu lake inaweweseka kwa ajili ya pesa za watu. Kuna watu wanaona biashara zao hazitoki basi wamenunua TFDA wameiweka mfukoni wanadictate terms. Hii nchi imekaa kifisadi zaidi kila mwenye uwezo wa kupaza sauti na kusikika anatafuta jinsi ya...
  3. R

    Viongozi na Wajumbe watano wa CHADEMA wakamatwa

    Saa ya ukombozi imekaribia, dalili zote zinaonyesha. Kama wanakamata hao viongozi kwa tangazo la mkutano inabidi wahakikishe TV zinaacha kuonyesha tangazo hilo kwani lipo ITV na nadhani wengi tumelisikia na kuliona. Changes are inevitable policcm wanatakiwa kulijua hilo.:heh:
  4. R

    Huyu ndo mtoto aliyeolewa akiwa na miaka nane tu: Rasimu ya Katiba imebainisha umri wa mtoto?

    Duh hivi mama Bisimba umeisikia hii habari. Haki za binadamu zimevurugwa tafadhali muokoe mtoto na ukatili huu. Huyo muoaji achukuliwe hatua kwa kumbaka motto.:help:
  5. R

    Katibu mkuu wizara ya ulinzi na jkt unaujua huu ufisadi?

    Nina mashaka na wewe ndugu yangu stesheni, inaonekana wewe ni mmoja wa wanaonufaika na wizi wa fedha zinazotolewa na hazina kama mikopo ya watumishi wa umma chini ya wizara ya ulinzi na kujenga Taifa. Hata ikiwa ni hivyo, ukweli unabaki palepale kuwa huo ni uovu. Hata jinsi unavyotetea uovu huu...
  6. R

    Katibu mkuu wizara ya ulinzi na jkt unaujua huu ufisadi?

    Kuna mchezo mchafu unachezwa na kijana mmoja anayeshughulikia mikopo toka hazina kwa watumishi wa umma chini ya wizara yako mheshimiwa katibu mkuu, kisha watumishi hao wanazungushwa sana kupata mikopo hiyo ikiwa ni pamoja na kuombwa rushwa. Huyu Gwamaka amekuwa kama mtu anayetoa mkopo hiyo toka...
  7. R

    Police: CP Paul A. Chagonja hafai kuwa Msemaji Katika Matukio Makubwa.

    Kama hujui kufa angalia makaburi. Kama Chigonjwa/Chagonja hajui hali inakuweje baada ya kustaafu awaangalie wale wa iliyokuwa East Africa wanavyoteseka au aulize polisi waliostaafu ccm inawasaidiaje sasa hivi. Utu ni bora kuliko hayo magwanda anayojidai nayo sasa hivi kwani yana mwisho.
  8. R

    SERIKALI: Hatimaye Yathibitika Kuwa ni Kweli Serikali na CCM Walishaagiza Polisi Kupiga na Kuua Raia

    Kosa alilofanya pinda ni kutamka hadharani makubaliano ya sirini. Tangu wananchi waanze kupigwa na kuuawa na polisi lini uliwahi kusikia serikali imejitoikeza kukemea? Daudi Mwangosi aliuawa mbele ya kadamnasi mlisikia kauli yoyote ya serikali kuchukizwa na jambo hilo? ndiyo kwanza kamuhanda...
  9. R

    PINDA: Ukiwa mkaidi usilalamike pale kichapo kitakapokufikia

    Huyu mkuu si kosa lake ila nahisi virusi vimeshafika kwenye ubongo wake
  10. R

    Unajisikiaje mtu akikwambia ni CCM

    Mimi binafsi sipendi hata kusikia jina hilo hasa baada ya mauaji na mateso rukuki kwa waTZ na pia nafahamu kuwa CCM ni maficho ya watu wengi. Kuna wengi hasa wafanyabiashara wako ccm kwa ajili ya ulinzi na usalama wa biashara zao ambazo wengi wanakwepa kodi kwa kivuli cha ccm. Ukipita sehemu...
  11. R

    Kituko:Hatuna Shida na NAPE bali Mbowe na Lema-POLISI

    Hawana shida na Nape kwa sababu anachosema hakimtishi mtu yeyote hata mtoto wa chekechea anajua huu ni uzushi , ila kinachosemwa na Mbowe kina madhara makubwa kwa mafisadi na policcm ambao wanajua hivi karibuni kutapambazuka na uhuru wa kweli utapatikana na wao hawatakuwa na mahali pa kuficha...
  12. R

    Mh.Mbowe na Lema wafika Polisi:Wapokonywa Simu,Maelfu ya Wananchi nao watanda barabara ya AICC

    Hao policcm wanahaha wakidhani labda ule ushahidi wa video uko ndani ya simu zao, si unajua policcm shule hakuna na akili pia finyu. Hakuna cha ajabu hapo maana wataaachiwa huru tu hiyo ni mizengwe ya kuwafurahisha mabwana wakubwa waliowatuma. Hizo ni fix za policcm tu. Mbona nape hawajamkamta...
  13. R

    wanawake wa kipare

    Wanapenda nje sana, wanafiki sana, wachoyo sana. Huyo wako anasubiri umuoe ndipo utaona picha halisi.
  14. R

    Lwakatare atapokelewa kama mfalme Bukoba mjini.

    ccm mashetani wanamaliza watu kwa kutumia polisi wataongoza nani
  15. R

    Lusinde: Tuondoe picha za wanyama kwenye fedha za Tanzania...

    Kama cv yake ndo hiyo, basi nimsamehe bure maana hana chakuchangia. Anataka aonekane yupo kwa kutumia ujinga kwani shule hakuna yupo hapo kwa bahati mbaya.
Back
Top Bottom