Watoto waliotekwa na kufichwa kwenye handaki huko Mabwepande


R

Rosena

Member
Joined
Sep 11, 2012
Messages
51
Likes
1
Points
0
Age
56
R

Rosena

Member
Joined Sep 11, 2012
51 1 0
jamani jambo hili bado linanilaza macho kwa uchungu nilionao kuhusu vitendo vya kinyama walivyosimulia watoto waliopatwa na mkasa huu. Ningependa kujua kama wahusika wamekamatwa na kama wale watoto wengine waliobakia huko kwenye hilo handaki wamepatikana. Hivi TIS ipo au Nyerere alipokufa nayo ilikufa? Enzi ya mwalimu vitendo kama hivi visingewezekana. Lakini pia wazazi tuzungumze na watoto wetu kuhusu kuomba lift kwa watu wasiowafahamu kwani ni hatari sana. Utakuta watoto wadogo sana wamejipanga barabarani wanaomba lift huwa nawaza ni jinsi gani watu waovu wanaweza kuitumia vibaya nafasi hiyo.
 

Forum statistics

Threads 1,273,525
Members 490,428
Posts 30,484,172