Very true.
Extended family ni jambo la kuangalia kwa jicho la tatu.
Pia kuishi karibu na nyumbani au ulipozaliwa ni risk kubwa katika safari ya mafanikio.
Mfano Mzumbe walitoa internship kwa vijana zaidi ya 50 kwenye kampus zao zote lakini ilipofika swala la kuajiri, wale intern wote waliondolewa na wakaajiriwa TA wapya.
Swali ni je, Mzumbe hawakuona ufanisi wa wale maTA waliokua nao kwa zaidi ya miezi 12? Hili nalo pia ni changamoto
Sent from...
Hello wadau, natafta kijana anayejua kufanya hairdressing ikiwemo natural hair treatments pamoja na kusuka dreadlocks.
Saloon ni mpya ya kisasa, ipo Tegeta Salasala.
Kwa mawasiliano WhatsApp 0757925487.
Sent from my SM-A3050 using JamiiForums mobile app
Habari za leo ndugu zangu. Nina project proposal kichwani. Nimeshaidhibitisha uhalali wake na mafanikio ya hio proposal.
Nimesha kadiria malighafi na gharama za kuifanikisha. Tatizo linakuja kwenye kuihamishia kwenye makaratasi ili kuweza kuwasilisha kwa mfadhili.
Mtu yeyote mwenye ujuzi...
Mkuu ukilinganisha Vituo vya daladala, Nairobi wanatumia namba kutambua routes zao. Mfano route 134. DSM hata sijui tunatumia nini ila zaidi rangi ambazo pia zipo Nrb na barabara mfano Pugu road.
All in all we are almost the same. Daladala za Nairobi nyingi ziko pimped na mziki mnene. Kuna...
Nimeishi Nairobi zaidi ya 10 years. Ni kweli Nairobi wametuzidi kimiundo mbinu ya barabara. Network ya barabara ya mjini iko very beautiful and smart.
Dsm, well tunakomaa. Hatuko vibaya. Kuna sekta tupo vizuri sana. Reli ya SGR ikimalizika nadhani tutaweza kuvimba kidogo. Network ya UDART nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.