Project Proposal(mpango kazi wa mradi)

Rosati

Senior Member
Feb 9, 2013
104
69
Habari za leo ndugu zangu. Nina project proposal kichwani. Nimeshaidhibitisha uhalali wake na mafanikio ya hio proposal.

Nimesha kadiria malighafi na gharama za kuifanikisha. Tatizo linakuja kwenye kuihamishia kwenye makaratasi ili kuweza kuwasilisha kwa mfadhili.

Mtu yeyote mwenye ujuzi, uwezo na utashi wa kuandika proposal ya mradi ikatulia plz tuwasiliane. Dau litalipwa kulingana na ufanisi wa mradi.

Mradi unategemea kuanza Jan 1, 2022. Hq za mradi ni SUA. Mradi unamilikiwa na kijana mtanzania na utafadhiliwa kwa ushirikiano kati ya mtanzania na mtu wa nje.

Call/text/WhatsApp : 0675-074-946
 
Back
Top Bottom