Recent content by ropam

  1. ropam

    Sekretarieti ya ajira angalia kwa makini

    Kazi ya interview ya written sio kuona watu wanavyofaulu au kuhakikisha wasailiwa wanavuka pass mark, kazi ya interview ya kuandika ni kupunguza idadi ya wasailiwa wa hatua inayofuata...haina maana kuweka passmark maalumu kwasababu vipi kama wasailiwa wote watavuka hiyo pass mark, lengo la...
  2. ropam

    Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

    Hapana umbali utabandilika kwa either kupungua ama kuongezeka.
  3. ropam

    Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

    ngungwangungwa: Kutoka dar mpaka shinyanga pana umbali wa 1017.5KM, kutoka dar mpaka kigoma ni 1295KM na kutoka dar mpaka Gelib (mji upo kusini mwa somalia) kuna umbali wa 1473.3KM, ndo maana nilisema ukitembea hizo 1500KM kutoka dar kuelekea kaskazini mwa Tanzania utajikuta upo somalia...
  4. ropam

    Vitabu vitabu vya ujasiriamali wa Kilimo cha mboga mboga,ufugaji na matunda

    I hope hilo sio swali as i see the question mark hapo mwisho wa sentence, anyways lets drop this.
  5. ropam

    Nina milioni 3(tsh) nianzishe mradi gani

    Mbona na wewe hujamsaidia badala yake unamshambulia aliyeshambulia??....Mwalimu hiyo pesa inatosha kabisa kuingia kwenye miradi ya horticulture, nakushauri uzipeleke shambani hizo pesa. Ungesaidiwa zaidi ungesema unapatikana wapi
  6. ropam

    Vitabu vitabu vya ujasiriamali wa Kilimo cha mboga mboga,ufugaji na matunda

    You are not confident with your product, and you are making it so obvious for all of your customers to see. Tumeomba tu utuambie vitabu vimeandikwa na nani na vimeandikwa wapi, unaleta majibu ya bungeni
  7. ropam

    Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

    Litaje jina la eneo unaloishi na linapatikana mkoa gani wadau wakusaidie vizuri, hiyo 1500km kutoka dar ni Somalia huko
  8. ropam

    Rais alisoma hotuba kwa kutumia kifaa kiitwacho TELEPROMPTER

    Akhsante mkuu, Nimeelimika.
  9. ropam

    Nini tofauti kati computer ya 32 bit na 64 bit?

    32-bits ni procesor yenye uwezo wa kuprocess 232 bytes of information ambayo ni sawa na space ya 4GB RAM, 64-bit ina uwezo wa kuprocess 264 bytes of information ambayo ni sawa na space ya RAM kuanzia 4GB na kuendelea. Unaon kwamba ukiwa na procesor ya 32-bit hauhitaji RAM ya 8 GB kwasabau comp...
  10. ropam

    Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Get the facts right Chimbuvu, Kitu cha kwanza Warren Buffet hakujenga nyumba yake ni alinunua. Kitu cha pili Warren alinunua hii nyumba miaka miwili baada ya kuanza biashara zake. Alifanya kazi kutoka mwaka 1951 mpaka 1956 na mwaka huo wa 1956 alianza biashara zake kwa kuanzisha kampuni...
  11. ropam

    Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Get the facts right Chimbuvu, Kitu cha kwanza Warren Buffet hakujenga nyumba yake ni alinunua. Kitu cha pili Warren alinunua hii nyumba miaka miwili baada ya kuanza biashara zake. Alifanya kazi kutoka mwaka 1951 mpaka 1956 na mwaka huo wa 1956 alianza biashara zake kwa kuanzisha kampuni...
  12. ropam

    watanzania millioni 8 kufa kwa kansa ya damu chanzo simu za touch

    Mimi nimekuelewa mkuu Appoh, ila nina mchango kidogo: 1. Swala la kusema simu za touch zinapendwa zaidi na akina mama sijaelewa umefikiaje hiyo conclusion, kama unapenda simu za kisasa penda usipende lazima simu yako itakuwa na touch screen. Wewe mwenyewe kama unatumia smartphone na sio brand ya...
  13. ropam

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Nimekuelewa baraka607, ila ningependa kujua pia uzoefu wako na hizo gharama ni kwa mikoa gani??
  14. ropam

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Nimejifunza mengi sana kutoka kwenye huu mjadala wadau, Natanguliza shukrani zangu. Naomba kuuliza swali kwa wale wenye uzoefu...nasikia maeneo yanayohusika na kilimo cha mazao mbali mbali kuna biashara pia ya kukodisha mashamba kwa wamiliki wa mashamba, ningependa kujua huwa yanakodishwa kwa...
  15. ropam

    Nauza line ya tigopesa

    Kwani hiyo line huko Tigo au Vodacom kwenyewe ni Tsh ngap?? Kama ni 1,000,000+/= kama wanavyouza hapa, why is that chip so expensive??
Back
Top Bottom