Biashara ya madawa ya kulevya ni ngumu sana hapo makonda alichokifanya ni kama kuongeza dhamani ya unga ni kama mirungi sasa hivi kile kichanga cha kati ya sh2500 - 4000 sasa kinauzwa 6000 - 8000 sasa wale wauzaji ndio wanazidi kutajirika na kwenye unga ndio hivyo hivyo
Ninacho juwa mm ni friji lina kula umeme pale tu likiwa lina funguliwa na kufungwa kila mara kwasababu compressor inakuwa inafanya mda wote jaribu kulizima mchana na kuliwasha usiku utaona tofauti ya matumizi ya umeme
Mm ninavyo juwa malaya ni mwanamke au mwanaume mwenye mpenzi zaidi ya mmoja tuseme mpenda ngono na KAHABA ni mwanamke anayetowa huduma ya ngono kwa malipo kwa maana nyengine ni mfanya biashara ya ngono.
ukristo hautaki mtu wa vuguvugu unataka mtu awe moto au baridi kama kweli kasema ina maana yeye ni vuguvugu tayari atoke tu kwenye kundi sio mfano mzuri
tukizungumzia ibada za kishetani hata mwenge, bunge, bendera na mambo mengi yanayo husisha na hayo ni ibada za kishetani sii keki na ndafu hat ile kugongeana glass
makanisa yamevunjwa mali za kanisa zimeibwa mapandri wameuliwa na watazidi kuuliwa serekali inaonekana kama inawatetea au kuwaogopa hao wafanyao haya matukio lakini siku shekh akijakuuliwa ndio serekali itakuja amka na itakuwa imesha chelewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.