Recent content by rookieRealtor

  1. R

    JamiiForums Tanzania Putin atamka kumlinda Raisi wa Burkina Faso " Ibrahim Traore" dhidi ya mataifa yanayotaka kumkamata

    Amebadilisha mkoloni tuu.... ila wote ni walewale....mpaka siku waafrika tutakapo amka
  2. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Jengo kwa ajili ya kufanya Hospital

    jengo la ghorofa mbili vyumba 24 litakufaa? eneo Tegeta. Nimejaribu ku PM sijafanikiwa
  3. R

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema na ukweli mchungu kuhusu mtu mweusi

    kote huko kwanini ...aangalie South Africa ya mweusi na South Africa ya mweupe(bila sera ya ubaguzi). ....na Zimbabwe...... au angalia mradi hapa nchini uliokuwa chini ya mzungu then wakaondoka na kuwapa wazawa .....
  4. R

    JamiiForums Tanzania Vodacom Hawajitambui.

    Vodacom Tanzania
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mbegu hii naipata wapi nahitaji sana

    Nenda kenya au South Africa.....kama uwezo upo kaitafute Denmark au Holland
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na uwezo wote wa Kifedha, wa Kwenda hospitali yoyote nchini, Ni hospitali gani inayotoa huduma Bora kuliko zote kwa mtazamo wako?

    Muhimbili kuna wataalamu wengi na wazuri .....tatizo ujuane na mtu na uwe na hela.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro naye anasubiri siku tu

    Yametimia!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea wapi jamani? Mfuko wa saruji(cement) umefikia Sh. 15,500/= Kigamboni

    Waziri anadai demand imekuwa kubwa kipindi Hiki!!!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Gari niendeshe uber(dreva)

    Gari ya mwaka 1994 inakubalika?....make ni Toyota.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Gari niendeshe uber(dreva)

    Ninayo ..ina ac, rangi mpya, matairi etc .... ila ni ya mwaka 1994!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Is Tanzania a "Mineral Republic"?

    Banana republic - Wikipedia In political science, the term banana republic describes a politically unstable country with an economy dependent upon the exportation of a limited-resource product, e.g. bananas, minerals, etc. It was invented by American author O. Henry in 1904 in reference to...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Kuna masharti ya aina ya gari na umri wa gari?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mwenye GPA ya lower second class(3.4) asahau kuhusu scholarship katika nchi za Ulaya?

    Sio kweli ...wewe apply kila inayopita mbele yako! Nina fahamu watu watatu wenye GPA za kawaida tuu walipata scholarship ulaya...ila wao wali kuwa wana apply kila scholarship wanayoiona imetangazwa.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Urasimu wa TRA katika utoaji wa leseni za udereva na kisingizio cha 'Materials zimeisha'

    Nenda kwenye passport nako ukaambiwe materials hamna!
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa Biashara: Nakumatt tawi la Mlimani City Jijini Dar es Salaam yafungwa kisa kushindwa kulipa kodi

    Nafikiri haina uhusiano na hali ya Tanzania ....ni matatizo yao wenyewe New low for Nakumatt as it shuts down its Junction Mall outlet https://citizentv.co.ke/news/nakumatt-closes-yet-another-branch-in-nairobi-177644/ Who will benefit from Nakumatt’s problems?
Back
Top Bottom