Habari wadau, sina mengi ndugu zangu naomba kujua wapi nitapata soko la madini aina ya ulanga mweusi na kyanite, msaada wa upatikanaji wa soko. Natanguliza shukran
Ndg hapo kuna usuni na ushia, Iran ni mashia na assad ni Shia inabidi ujue hilo,na kama Syria itaanguka mikononi mwa masunni basi naiona serikali ya Iraq itakavyoangushwa muda si mrefu maana Iraq masunni nao wamechoka na kuna mapigano huko, dunia inaenda kujiform upya,
Nilikuwa natoka kariakoo mitaa ya kwa mwinyi kama unaelekea kawe mida ya saa moja hv nikazioona nilishangaa sn na nilishindwa kujua kuwa ni kitu gani kile
Naomba kujua je gari inafika hadi Cape Town au inaishia mji gani na usalama wa kusafiri vitu upoje maana kuna kampun ukisafirisha vitu wanapita wanafunguafungua mizigo njian, naomba kujua inachukua muda gani gari kufika point ya mwisho, na gharama zenu munachaji kwa kila au kwa mzigo
Dah Maputo jiandae na swala la lugha aiseeeee wale jamaa kingereza ata cha kuomba maji ni shida sn nilipata tabu sn Maputo, nilikuwa nataka line nikisota wn
Msaada laptop aina ya fujitsu zipo mbili moja haiwaki kabisaaaaa ila nilijaribu Kutoa ram, betri, hdd na Kuweka kwenye laptop nyingine aina hiyo hiyo ile pc Ikawaka nikajua issue sio ram wala betri wala Hdd, pc ya pili yenyewe inaonyesha kuwa chaji inaingia ila haiwaki kabisaaaaa so msaada...
0622088300, location kimara corner, ukuomba ndg ndio maana hatukuweka location, so ww fika pale kaone mzigo kwanza, ila ni tiles nzr tu na pia hua ana mafundi wazuri sn wa tiles mie nimechukua hapo japo nitaendelea kuchukua maana naweka nusu nusu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.