Recent content by Roja45

  1. R

    JamiiForums Tanzania Zitto amtembelea Lema gerezani baada ya kunyimwa dhamana

    Hayo nakusweka watu ndani yanamwisho! MUNGU ANAONA!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Polisi ni Kama ina Laana, Kumpiga Mzee kama huyo Nyamongo, Siyo sawa kabisa

    Mm nilimkaza mwanangu cjui huko chuoni moshi wanafundishwa nn? Askari akiona huna hatia anakasirika! AkikukutA na hatia anachekelea! Mm cjui bwana! Kitu kidogo! Kitu kidogo! Ktk mia wawili tu ndo waugwana[emoji4][emoji4]
  3. R

    JamiiForums Tanzania Dangote wamgomea Muhongo kwenye mkutano na wenye viwanda vya simenti, asema makaa hayatatoka nje

    Kwanza nawaza hivi waliotoa amri ya bei ya sukari na bei elekezi wanaona ndiyo inayotumika? Je dangote ? Hi nchi bwana we acha tu! Wamwache dangote afanye atakavyo ili mradi bei ya cement yake ni nzuri suala la mali ghafi anaitoa wapi halitupi unafuu wala c jema kwetu walalahoi! Tusishabikie...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwijage: Kufungwa kwa kiwanda cha Dangote hakutaathiri upatikanaji wa sementi nchini

    Yawekeni kwenye mizani tukumbatie kipi na tutupe kipi? Mwisho wa cku tucjelia!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama yafuta kesi ya kuchapisha na kutangaza matokeo ya uchaguzi yasiyo sahihi

    Mwisho wayote tutasimama mbele ya Bwana tukijibu tuliyayatenda kwa kuficho hapa duniani huku tukiburuza wasio na hatia mahakamani! Kumbukeni tunapita tu c nyumbani hapa! Biblia yasema wazi shagwe ya waovu niyakitambo TU!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo ndege yenye ubora zaidi na starehe za kutosha kuliko yoyote duniani

    Mzarau chake mtumwa!muwe na shukurani watoto,!na adabu pya! Safari ni hatua! ASANTE MUNGU KWAKUTUWEZESHA KUPATA NDEGE!WASAMEHE WASIO NA SHUKURANI! Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
  7. R

    JamiiForums Tanzania Lissu ailaza chali Jamhuri katika kesi ya Dennis Wilson aliyemkashifu Rais Magufuli

    Sheria na sasa usingizi na kifo!poleni poleni!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete, utabakia kuwa Rais mwenye hekima, mwenye akili na mzalendo

    Yaonyesha ni mjomba wako maana hiyo sifa!
  9. R

    JamiiForums Tanzania UN wamuhoji Waziri wa Mambo ya Nje juu ya suala la Zanzibar

    KAMA hivyo ndivyo mambo yakivyo basi viongozi wanaozika demokrasia kwakisingizio cha kulinda amani na visingizio kibao watatuletea taabu na shida nayote hayo yanasababishwa na KUTOKUJIAMINI! BADILIKENI!! Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
  10. R

    JamiiForums Tanzania Siri ya kuruhusu mikutano ya siasa yatajwa

    Tuliyoyapigani kwa wenzetu Africa kusini wasionewe na makaburu hayo tuliyoyakataa wenzetu wasitendewe cc tunawatendea watu wetu! Ila iko cku uonevu wa kidemokrasi UTAKOMA! YUKO MUNGU ASIYEPENDA HILA!HILA ZINAZALIWA N.A. DHAMBI! NA MWENYE HAKI HANA HILA! YATAKOMA!!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tupo katika ardhi ya madini. Tuwekeze

    Wasiliana na mkurugenzi mtendaji !kakungu tandama gems& co Ltd 0759118089
  12. R

    JamiiForums Tanzania TRA waje JF wajibu maswali kadhaa ya waagizaji magari binafsi.

    Bado tra wanachechemea kuelekea kwenye gazi ya hapa kazi tu!
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ni faida gani ataipata Mungu kwa kuwachoma moto binadamu siku ya mwisho?

    Jifariji tu KWASASA ila kama humjui Mungu leo utamjua kesho!utakuwa umechelewa!
  14. R

    JamiiForums Tanzania The new condom called pant condom: for 100% protection against all STD's

    [emoji24] habari ya mjini imeliza wengi can u stop to send GODS PEOPLE TO HELL[emoji91] [emoji91] [emoji95] [emoji89] [emoji88] [emoji49] [emoji33] REV,POUL MSANGI
  15. R

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Pemba na Wapemba

    SUMU ITAKAYOANGAMIZA WANA TUNDURU HII HAPA: sulphur yakupulizia mikorosho yenye viambata vya sumu inauzwa sokoni pamoja na bidhaa zingine kama maharagwe na dagaa n.a. unga wa mahindi! Hupimwa kama sukari na vumbi lake huingia kwenye vyakula HIVYO! Kamati ya ulinzi n.a. usalama ya wilaya...
Back
Top Bottom