The new condom called pant condom: for 100% protection against all STD's

The new condom called pant condom: for 100% protection against all STD's

Hizo unafua na kuanika baada ya matumizi... alafu unatumia tena...
 
..umakini uahitajika katika mapokeo ya hioyo ndomu ya aina yake. Ikiwezekana kujua lengo la kuletwa kwetu TZ, pia kujua kama kule kwao(zilipotokea) zinatumika katika maisha ya kawaida au la!! Eti isijeikawa kule kwao zinatumiwa na wachekeshaji wakiwa kazini halafu sisi tuambiwe zinafaa kwa matumizi halisi, Ila inabidi tujiulize hivi ni kweli wao wametumia wakaona manufaa makubwa na kuhisi zitatufaa sisi. Hali kadhalika wasije wakawa wanatufanya specimen ili waweze kujua kama ugunduzi wao utafanya kazi kwenye mazingira halisi na kukubalika au la! Haha, halafu hii ndomu inaweza ikawa ni matokeo ya project ya mwanafunzi katika chuo flani pale Sweden na kuchagua specimen ni watu wa Afrika hususani Watanzania.. Hahahaha!!
 
3883dbb5db307d8f5e2acf3597aa30f1.jpg
93d06928e23d001285a13c7e390227e7.jpg

Mkuu hawa jamaa zangu sijui size zao zipo?
19a180295e37a2a26db546cc7f9aad6d.jpg
 
Hiyo ni kwa nyie vijana mnaotangatanga mnao valia suruali chini ya makalio, sisi baba zenu hazituhusu umri wetu ushatutupa mkono, sasa tunasubili kufa na hayo ndio mnayo yasoma huko mavyuoni.
 
[emoji24] habari ya mjini imeliza wengi can u stop to send GODS PEOPLE TO HELL[emoji91] [emoji91] [emoji95] [emoji89] [emoji88] [emoji49] [emoji33] REV,POUL MSANGI
 
Scientists-Makes-New-Condoms-Called-%E2%80%98Pant-Condoms%E2%80%99.jpg


Sweden Scientists has come out with new condoms for those who worry about condoms coming off during xex..The new condom is called pant condom which they say gives 100% protection against all STD’s and prevents unwanted pregnancy. See photo of a man wearing one below;

Scientists Makes New Condoms Called ‘Pant Condoms’
dude, tell us also about that jelly thing they call anti-friction lubricant, are they not going to infest them with germs?

wasije sema kuwa hizo condoms haziwezi pasuka lakini hayo mafuta ya ulainisho yanakuwa na vijidudu vya ukimwi pamoja magonjwa mengine
 
Back
Top Bottom