Recent content by roggotz

  1. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna Guest bei rahisi Duniani kama Singida Guest

    Ww kwetu manzese mpaka elfu 3 zipo manzese ndo sehemu inayoongoza kwa bei rahisi duniani
  2. R

    JamiiForums Tanzania Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Ww umeumbwa kwa lengo gani ukishalijua hilo basi halikupi shida
  3. R

    JamiiForums Tanzania Somalia Taifa Lisilotakiwa Kuwa Na Amani Na Mataifa Makubwa

    Somalia kinachopiganiwa ni kwamba USA hawataki kusikia kwenye hii dunia kuna nchi Hakuna kanisa hiyo ndo sababu wanataka ukafiri uwepo kila sehemu so Somalia Hakuna hiyo kitu ndo sababu ya kupigwa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Huu utapeli manzese utaisha lini

    Mm ndo nipo karibu nao zaidi wanachofanya Sio haki ila serikali inashirikiana nao hao wezi yaani mpaka kero unakuta mtu Kaja kununua bidhaa anaishia pale na pesa yote inaondoka yaani hadi kwetu biashara inakuwa ngumu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Huu utapeli manzese utaisha lini

    Na vile vile wanavutwa Hata kwa nguvu za giza
  6. R

    JamiiForums Tanzania Huu utapeli manzese utaisha lini

  7. R

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    Tupo pamoja makapuku wenzangu naomba nipewe wizara ya habari Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
  8. R

    JamiiForums Tanzania Huu utapeli manzese utaisha lini

    Hapa manzese utapeli wa waziwazi wanajifanya kuna mchezo wa bahati nasibu unachagua namba ya bahati unaposhinda unapewa pesa no wizi ambao serikali unaujua kuanzia ngazi ya wilaya mpaka ngapi wilaya wanajua kuwa wananchi wao wanaibiwa sasa inakuaje serikali inashirikiana na wahuni kuwatapeli...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa Malawi hajulikani aliko

    Hii kali
  10. R

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa posta na ubaguzi??

    Sio kila msikiti unaweza kuingia mengine masinagogo
  11. R

    JamiiForums Tanzania Magereza ambayo Scorpion mtoboa macho anafaa apelekwe

    Laiti mm ningekuwa rais yule jamaa aliyemtoboa macho mwenzake ningeamuru anyongwe pale jangwani tena mchana kweupe bila pazia kila mwananchi ajionee
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nani anamwelewa mgombea mwenza wa UKAWA Haji Duni?

    We ni mgeni wa siasa hiyo slogan muanzilishi ni lipumba waulize wanachama wa cuf watakujibu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu: Serikali haitagharimia Mahakama ya Kadhi

    Ni jinsi gani inaonekana mnauchukia Uislamu
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu: Serikali haitagharimia Mahakama ya Kadhi

    Wenzetu wa memorandum of understanding hili fungu hutoka kila mwaka
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu: Serikali haitagharimia Mahakama ya Kadhi

    Na ss tunahoji kama kweli mpo kwa nia safi ktk pesa ya escrow hakuna muislamu hata aliyehusika kutafunwa isipokuwa maaskofu na wasiokuwa waislam hapo vp jamani
Back
Top Bottom