Recent content by Roga Roga

  1. Roga Roga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Na mwanza rock city je wapi machimbo ya fasta
  2. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania Historia Ya Extra Musica (Sehemu ya II)

    Upo, karibu
  3. Roga Roga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Inatumikaje? Lete maelezo
  4. Roga Roga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Hiyo kegel exercise ni nini mkuuu
  5. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania Hii ndio dawa ya nguvu za kiume 100%

    Wengine wanashauli tufanye mazoezi ya kegeli , ndiyo yapi hayo? Hebu mnaojua mazoezi ya kegel mtusaidie.
  6. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba

    Na namna ya kulipa fundi kwa kazi yote ikoje?? Na namna ya kulipa fundi kwa kazi yote ikoje??
  7. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba

    Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning...
  8. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuunganishiwa umeme ukiwa mita 30-120 toka nguzo ilipo ni kiasi gani?

    Unaposema single phase unamaanisha nini?? Tafadhari tufafanulie
  9. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Sunda International zinapatikana wapi?

    Na bado wanatoa bati zile ziitwazo sunda best????
  10. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania Kahama VS Njombe/Mafinga

    Mgodi wa buzwagi ambao mafinga haupo
  11. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa vipindi Radio One, soma hapa na uchukue hatua mara moja ili msiendelee kupoteza soko la wasikilizaji.

    Tangu mwaka huu uanze naona kama ma-DJ au watangazaji au waandaa vipindi radio one wameamua kutufanya sisi washabiki wao kama mazuzu. Kumekuwa na "mixing" kama nne ambazo kila siku zinatumika kutoa burudani kiasi mpaka sasa zimekuwa ni kero kwa wasikilizaji. Mara nyingi kuaanzia saa 2:15 hadi...
  12. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau, Vigae/tiles nzuri na bora(durable) ni zipi?

    Mkuu bihashara matangazo, weka bei kama uko serious nawengine tuone ili tuvutike, haya mambo ya kuitana chocholoni siyo
  13. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Tafadhari adimin wa group la watsapp la kipindi cha capital Fm cha Emily ( Bozouk Time) kila siku jioni saa 12 hadi saa 3 usiku, naomba link au namna ya kuungwa nipate kuchangia huko
  14. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu, Kiburi si maungwana!

    mlizoea upinzani wakina mrema, cheyo na lipumba.................huyu kaja kivingine
Back
Top Bottom