Recent content by rody180

  1. rody180

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Faulu nyepesi saaana kuamua penalty, lugha nyingine ile ni soft saaaana kama refa makini huwezi toa penalty
  2. rody180

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kifupi ile ni poor decision ya refa..ni soft mno..kama refa makini huwezi toa penalty kwa faul nyepesi vile..
  3. rody180

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hakuna mchambuzi yeyote wa soka duniani akaichambua foul ya Leo tuliyopata penalty nikamuelewa..kikubwa tumebebwa hakuna ubishi na kwenye soka mambo kama haya yapo. This was a big game and referee should be very keen in decision.. Michael Oliver kafeli kwenye kuweka ile penalty, nauhakika...
  4. rody180

    Nataka kufunga ndoa bila sherehe

    Safiii saaana mkuu..nakuunga mkono..hata Mimi nipo njiani kufanya hivi hivi..mungu akusimamie mlitimize
  5. rody180

    Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

    Braza kwanza pole saana na kikubwa ube tulia halafu jikaze kiume umkalie kimya kwa muda mrefu, kama ni wako kweli itabaki atageuza shingo hata kama kuna jamaa anajipakulia mzigo Ushauri huu nakupa kwa kuwa inaonesha unampenda saana.
  6. rody180

    NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

    Naomba ya nronga secondary plzzz
  7. rody180

    NECTA na usumbufu wa kupata matokeo

    Naomba ya nronga secondary plzzz
Back
Top Bottom