Recent content by Rodwell mTZ

  1. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Tsunami kamwe haitokuja kutokea Tanzania kwa sababu zifuatazo (Jifunze usiogope)

    Zipo sababu kadhaa za kisayansi zinazoweza kuleta tsunami katika pwani zetu za Tanzania,Moja wapo ni hii hapa,mfano kimwondo kutoka anga za juu chenye ukubwa wa maeneo ya Sinza kijitonyama na Mwenge zikiunganishwa,kikidondoka baharini umbali wa takribani kilomita 400 toka kwenye fukwe zetu za...
  2. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

    Huna hoja wewe ndiyo maana umelose tamper mapema.
  3. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Sijadharau soko la hisa ila nimesema hicho siyo kigezo cha kupimia uchumi wa watanzania.
  4. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

    Mimi ni advanced reader kwa bahati mbaya najibizana na mburula
  5. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

    Hiyo ni kwa ajili ya advanced readers.
  6. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Soko la hisa siyo kiashiria pekee cha Kujua kwamba kabila gani limewaacha mbali makabila mengine kiutajiri au kiuchumi,ukizingatia kua DSE Bado ni soko changa sana,Wala hata hisa zake huwa hazijawahi kupanda bei kiasi cha watu kuuziana hisa yaani hapo watu wamestick wanasuburia gawiwo la mwisho...
  7. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Msiogope, Majanga ya NEPAL hayawezi kutokea Tanzania

    You must be a genius,watu walidanganywa sana kuhusu hayo mafuriko ya bwawa.
  8. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Rekebisha kichwa cha Uzi wako,hawajawaacha kwa mbali kama ulivyoandika kwa sababu hakuna official figures zozote zinazoonyesha orodha za utajiri wa makabila mbalimbali isipokuwa huwa tunabuni tu,nikiandika hivi sijadharau juhudi za wachaga katika kuchakalika kukuza uchumi wao,wako vizuri...
  9. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Fabrizio Romano azitambulisha jezi mpya za Kimataifa za Yanga. Hakika Yanga ni kubwa sanaaaa

    Hiyo timu unaiona ni kubwa ni kubwa kwako sababu umeiweka mioyoni mwako,hiyo ni timu ya kawaida sana ina haki sawa na timu zingine zinazocheza premier league ya TZ.
  10. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbeya ni Tanzania? Nimekuta Vumbi la kutisha kama Jehanamu. Narudi Iringa

    Wanaangalia vumbi
  11. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Kuna mtanzania anaishi nchini Uholanzi (Rottardam au Amsterdam) anaendesha genge la uhalifu mbalimbali na ukwepaji wa kodi. Government officers kimyaa

    Hivi wewe huwa unalipa Kodi zote asilimia 100 labda tuanzie hapo.
  12. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Cheti cha form 4

    Hayo siyo malipo halali,labda kama alipoteza kitabu cha shule anadaiwa anashindwa kukuambia ukweli.
  13. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Taifa kwanza wakati wa Tanzania kuweka utaifa juu ya tofauti zetu

    Chama kikubwa cha siasa ambacho kipo madarakani kimekosa ushawishi kwa wananchi,wananchi wamekigundua kuwa kina makandokando,basi kimeanza kutumia mwambuli wa dini ili kujinusuru,ila Kuna siku hata hizo mbinu chafu wanazitumia zitakuja kushindikana, believe me,kule Mexico Kuna chama kilitawala...
  14. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Mapadri na wanatheolojia wakatoliki mbona mnatofautiana kuhusu Utatu Mtakatifu?

    Kwa hayo matusi mada hii umeiingia kwa bahati mbaya .
Back
Top Bottom