Recent content by Rodgers

  1. R

    Nina wanaume watatu nilio nao kwenye mahusiano. Nimchague yupi?

    Hao wawili umesema ni waume za watu , kwa misingi hiyo unaendeleza mahusiano ambayo ni lazima yana madhara kwa familia zao, nadhani ni suala la muda tuu kila kitu kitakuwa wazi . Kwa upande mwingine umesema huyo aliye single umemsaidia kwa mambo mengi sana japo yeye ni mtu mgumu sana na...
  2. R

    Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    Ni muumini wa KKKT , ni mlutheri anayehubiri kwenye semina/mikutano mbalimbali ya kiinjili
  3. R

    Mrejesho wa Pesa nilizozipata kwenye ATM

    Mkuu unamlaumu na kumuita mshamba kwa sababu amerudisha pesa ya mlevi, kwa hiyo wewe unajiona una haki kumuibia mlevi kwamba kwako wewe wizi siyo tatizo bali ulevi ndiyo tatizo. Badilika mkuu , wizi kwa tafsiri fupi ni kutwaa kitu/mali ya mtu mwingine bila ridhaa yake . Alichofanya ndiyo njia...
  4. R

    Msichana aliyeniacha naye kaachwa. Je, nimrudie?

    Iwapo hapakuwa na kikwazo kingine chochote unaweza mrudia ili mfunge ndoa iwapo wewe upo tayari kufunga ndoa kama bado unajiona mdogo na muda wa kufunga ndoa haujawadia , basi mjulishe ili aendelee na Maisha yake. Kwa kadri ya andiko lako unaonekana bado unampenda,mapungufu mengine ni ya kawaida...
  5. R

    Bei ya maziwa ya unga kupanda

    Tanzania kwa sasa hatuna dairy farms, hivyo uzalishaji unategemea watu binafsi ambao wanazalisha Kiwango ambacho si kikubwa ku sustain kiwanda kwa mwaka mzima, Kwa miezi ya March hadi june maziwa ni mengi sana na yanaharibika kwa sababu hatuna storage facilities na reliable transport kuyatoa...
  6. R

    Duniani tunaishi muda mfupi sana

    Halafu pia tambua kuwa, iwapo unalala saa 4 usiku na kuamka saa 12 asubuhi ujue hayo ni masaa 8 kwa hiyo katika siku yenye masaa 24 masaa 8 unakuwa umelala , hiyo ni theluthi moja (1/3) hivyo iwapo utaishi kwa miaka 60 inakubidi utambue kuwa 1/3 ya muda huo utakuwa umelala na hivyo hauzalishi...
  7. R

    Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

    Dunia imejaa vituko, mimi nilidhani anamchezea dada wa kazi kumbe ni mkewe. Kwa lugha nyingine unatakiwa uondoke hapo urudi Babati mkuu ituko
  8. R

    Huyu mwanamke anakuja na binti yake mdogo wakati wa kufanya Mapenzi! Nimeshamkataza, hasikii.

    Mkuu umeleta hii taarifa kwa wadau baada ya kuona siyo jambo la kawaida na bila ya kuuma uma maneno una mchango mkubwa sana kwenye kumuharibu huyo mtoto, tofauti kati yako na huyo mama yake ni jinsia zenu tuu, lakini kosa ama dhambi mnayofanya inafanana kabisa na ndiyo sababu umeendelea naye...
  9. R

    USHAURI: Mchumba wangu anataka mwanamke wa kusimamia mali zake ananiambia haoni sababu ya mimi kupoteza muda wangu chuoni

    Iwapo wewe binafsi unaona mumeo mtarajiwa anania njema nawe kwa siku za mbeleni , na wakati huohuo wewe unataka ukamilishe ndoto yako ya masomo, na wazazi wako wameishajitoa kuhusu malipo yako ya ada, nakushauri UAHIRISHE masomo yako , ufunge ndoa, baada ya hapo iwapo bado utaona kuna unahitaji...
  10. R

    Bondia Hassan Mwakinyo sasa Kupigana na Mayweather na Amir Khan, Promota wake athibitisha

    upo sahihi kabisa, apate mtaalamu wa lishe ambaye atamuanzishiya program ya diet ili kuongeza stamina , anapaswa kujua kuwa kuna mabondia wajanja watakuwa wanamkumbatia kila mara ili kuvuta muda na akifika kwenye raundi ya saba ama nane atakuwa kachoka na hapo ndiyo wataanza kumshambulia . Ni...
  11. R

    Ni kilevi kipi kisichokuwa na madhara kwa watoto wa chini ya mwaka mmoja?

    Kwa kawaida mtoto hawezi kuwa Analia tuu bila sababu, tafuta daktari mzuri bingwa wa watoto ama nursing officer wa muda mrefu wasilisha tatizo lako watakusaidia. Acha kabisa wazo la kuwapa kilevi. Utakapowazoesha kilevi utakuja jutia maisha yako yote yaliyobaki. Unapoona watu wazima wanatembea...
  12. R

    Vijana wenzangu hizi dawa zinatibu nini?

    Zinatumika kwenye kudhibiti maambukizi ya mfumo wa kinga, na pia homa ya ini kwa kifupi ni ARV ambazo pia zinafanya kazi vizuri kwenye Hepatitis B
  13. R

    Kwanini waasia hawapendi watu weusi kuoa binti zao?

    Mkuu, uafrica ni janga duniani, hii rangi nyeusi inahusishwa na mambo yote mabaya duniani . Utasikia nguvu za giza, umekuwa blacklisted, hata anapotafutwa kiongozi wa juu wa kanisa katoliki ni hadi utoke moshi mweupe na siyo mweusi. Katika misingi hii nani atakubali umzalie mtu mweusi ?
  14. R

    Wanawake Kuuza Bucha ya Nyama kazi pia

    Wapo wanaoifanya mkuu, Sinza alikuwepo mmoja, mwanzoni alikuwa ameajiriwa kwenye bucha Fulani lakini baadaye akafungua yake mwenyewe , tena hii ni tangia mwaka 2010
  15. R

    Tetesi: Serikali yadaiwa kumvua uraia Padri wa Kanisa Katoliki

    Hili siyo tatizo la Kigoma peke yake, mikoa yote ya mipakani tatizo hilo la mwingiliano lipo, Wamasai wa Kenya vs Wamasai wa Tanzania, Wakurya wa Kenya vs wakurya wa Tanzania, Wangoni, Makonde, wanyasa, wagunya, nk
Back
Top Bottom