Recent content by Robin23

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    hongereni wote mliobahatika. Naomba kuuliza hv kama umepata kazi before hawajatoa majina watakutafuta au inakuaje, maana kama sifuatilia website je
  2. R

    JamiiForums Tanzania How I Met My Wife

    Nzuri
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jaman 😭😭😭 nilisubiria mda mrefu hvy bora ningejua mapema, nina maumivu makali had nashindwa kula
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndio nimefungua Leo app nilikua sijui kama ipo
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nilikua nasubiria placement zimetoka juzi nimekosa 😭😭😭😭😭 Nimefungua app inasoma not selected for oral interview wakati nilichaguliwa nikafanya oral vizuri 😢😢😢 sijajua ni system au shida nini jaman
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jaman mbona utumishi wanatoa vipdf vidogodogo siku hizi wanavigawanya gawanya kwanini wasitoe moja kubwa
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Pia mm nipo 😂😂
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mm bro wangu alipata kazi zile za TRA mwez wa 2. Sasa nikamuuliza kuhusu status (webb & app) kama na mm labda naweza kujua maana nimefanya oral 1. Akanielekeza yy ilivyokua Moja baada ya written interview status zilisoma selected for oral interview both webb & app Akaenda kufanya oral interview...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Niliandika ya utumishi kama kawaida. Hamna kosa lolote sijaelewa kwanini waniandikie hivyo
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hi what's up guys naombeni msaada, mm niliaply kazi za brela (record management assistant ) sasa sijaitwa interview na kipindi cha nyuma huwa zote napata shortlisted ikabidi nifungue kwenye account nione shida ipo wapi wameniandikia hivi Not shortlisted (application letter not routed through...
Back
Top Bottom