Recent content by Robert Kasaki

  1. R

    Siri yafichuka! CCM mwaka 2020 jiandaeni kupambana na huyu

    dawa ya mnafiki ni kumweka hadharani,mtaje tu, kwani atakufanya nini??
  2. R

    Waziri Mwijage akiri serikali ilikuwa inaficha: Dangote wanataka gesi ya bure, hawatawapa

    njia ya uongo ni fupi,na haidumu.tatizo lililopo kubwa kabisa, ni kukosa Sera madhubuti ya uwekezaji ya kulinda raslimali zetu na masrahi ya taifa.ndo maana pengine huyu mwekezaji alipewa ahadi nyingi za kutengeneza super profit na ndiyo akavutika kuja. Awamu ya tano Iwe makini kurekebisha...
  3. R

    Ubakaji nyakati za wilayani Bunda

    tupewe tamko na mamlaka husika haraka iwezekanavyo
  4. R

    Lawrence Mafuru umewakilisha vyema majivuno/maringo ya Wajita

    malingo ni hulka ya mtu tu,haijalishi we msukuma,mzalamo,nk.achane mitazamo hasi kwa kuangalia udhaifu wa mtu mmoja mmoja.
  5. R

    Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

    rejea maneno aliyokwambia mzazi wako, Uwe na akiba ya maneno.kukaa kimya nayo ni busara.
  6. R

    DC Humphrey Polepole ajutia uongozi wa awamu hii

    kile anachokiona cha kwa jicho la kejeri,wengine wanakililia.,hawalali
  7. R

    Anthony Lusekelo: Lowassa mtu safi

    alikuwa ameonja ile mikono juu??
  8. R

    Jengo la Makao Makuu ya TANESCO Ubungo kubomolewa wakati wowote kupisha ujenzi wa 'Interchange'

    Huwezi kurekebisha kosa kwa kufanya kosa zaidi. pengine busara utumike zaidi kama mtizamo wa wizara ya Ardhi wa kurasimisha makazi, ni baada ya kugundua kuwa utaratibu ukifuatwa kama rula,wananchi wengi wataathilika.
  9. R

    Nyama niliyokula sijui nitapike? Anyway, sikukusudia

    ulikula nyau pori bro, pole,ni bora utapike kwa kweli.
  10. R

    Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi Lema anawatia moyo

    utamlinganisha Madiba na Lema kweli??mlima Kilimanjaro na kakisuguu,au bahari na maji ya kifuu? msimpe mhe,kichwa sana., badala ya kumshauli afanye siasa za kiungwana.
  11. R

    Hawa viongozi siku zao zinahesabika

    umeoteshwa jombaa??
  12. R

    Nina mashaka na hizi bilion13 ambazo CHADEMA wanapanga kukusanya kama mauzo ya kadi kwa wanachama

    hesabu simple kabisa, wana wanachama wangapi,na kadi itauzwa bei gani hadi wapate mibilioni hiyo.na kwa nini wakamuliwe wanachama wakati mgombea wao wa urais inasemekana ana ukwasi wa matilioni? kwa nini asiwalipie washabiki wake kadi tu,ni wazo tu washkaji.
  13. R

    Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    mkoa wa Dar unataka mtu mzima, ikiwezekana mstaafu, vijana hawa sina uhakika nao.
Back
Top Bottom