Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi Lema anawatia moyo

Anaandika Comred Malisa Godlisten

Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi wa Afrika Kusini kwa kuwaambia "The battle is not over". Yani pamoja na kufungwa kwangu, msife moyo endelezeni mapambano. Lema anatoka mahakamani juzi anawatia moyo wananchi wa Arusha maneno kama yale ya Madiba. Anawaambia "Kuweni na moyo mkuu msiogope". Inaumiza, inasikitisha, inatia hasira. Hasa ukifikiria kwamba haya yanafanyika katika nchi huru, bora Madiba alifanyiwa wakati wa ukoloni. Na hapa ndipo napokumbuka maneno ya Julius Malema kwamba "Not yet Uhuru". [HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG].!
Hahaha lema unamlinganisha na madiba kwi kwi kwi umaarufu kweli unatafutwa kwa njia nyingi
 
Anaandika Comred Malisa Godlisten

Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi wa Afrika Kusini kwa kuwaambia "The battle is not over". Yani pamoja na kufungwa kwangu, msife moyo endelezeni mapambano. Lema anatoka mahakamani juzi anawatia moyo wananchi wa Arusha maneno kama yale ya Madiba. Anawaambia "Kuweni na moyo mkuu msiogope". Inaumiza, inasikitisha, inatia hasira. Hasa ukifikiria kwamba haya yanafanyika katika nchi huru, bora Madiba alifanyiwa wakati wa ukoloni. Na hapa ndipo napokumbuka maneno ya Julius Malema kwamba "Not yet Uhuru". [HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG].!
Usimfananishe Mtukuka Madiba na mambo ya ovyo!!
 
Kitu kimoja ambacho rais anafikiri yeye ni Mungu na kwasababu amefikiri yeye ni Mungu, basi Mungu atasitisha maisha yake kabla ya Uchaguzi wa 2020".Godblesss Lema
Lini Magufuli alitamka kwamba yeye ni mungu?
 
Anaandika Comred Malisa Godlisten

Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi wa Afrika Kusini kwa kuwaambia "The battle is not over". Yani pamoja na kufungwa kwangu, msife moyo endelezeni mapambano. Lema anatoka mahakamani juzi anawatia moyo wananchi wa Arusha maneno kama yale ya Madiba. Anawaambia "Kuweni na moyo mkuu msiogope". Inaumiza, inasikitisha, inatia hasira. Hasa ukifikiria kwamba haya yanafanyika katika nchi huru, bora Madiba alifanyiwa wakati wa ukoloni. Na hapa ndipo napokumbuka maneno ya Julius Malema kwamba "Not yet Uhuru". [HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG].!
Kumlinganisha Lema na Mandela ni umbumbumbu wa hali ya juu !!
 
Ila kikweli mim nilikuwa mkereketwa mkubwa sana wa chadema kutokana na kile walichokuwa wakinena kuhusu wizi na matatizo mengi ya kiutendaji katika serikali lakin baada ya huyu magufuri kufanya yaliyokuwa upande wao sina tena sababu ya kuendelea kuwa huko na sipo katika chama chochote cha siasa, sijui hata chadema wanachohangaikia ni nini hasa huyu lema. Ukihangaika na haya mavyama ukasahau haya mambo yana msimu utaonekana wa ajabu sana. Na kingine kinachokatisha moyo ni huyu mwenyekiti wa chadema taifa namwona ni mtu mjanja mjanja sana ni kitu kibaya sana kwa mwenyekiti kuwa na vituhuma vya uwizi uwizi na ujana ujanja.hapa ndipo ninapomwelewa zitto kabwe juu ya zile tuhuma za mbowe na nimrodi mkono na majibu yaliyotolewa kwamba zitto asiibue tuhuma mpya ajibu tuhuma zake: haya ni majibu ya hovyo kabisa kwa mwanasias anayetegemea uungwaji mkono kutoka kwa watu.
Hakuna aliekuuliza, na hata unachoongea ni hisia zako zimetokana na msukumo kutoka nje. Pole sana, time will tell mtakuja kukana maandiko yenu.
 
Usimlinganishe Nelson Mandela (r.i.p) na upuuzi, tuwe na heshima na wakombozi wa bara la Africa.
Mandela hajakomboa nchi yoyote Africa, usimfananishe na Nyerere. Madiba amekaa ndani miaka 27, ukijumlisha na ya nyuma alikuwa anapigania Uhuru wa nchi yake dhidi ya ubaguzi wa makaburu. Ili ukomboe nchi nyingine lazima uwe madarakani.
 
Anaandika Comred Malisa Godlisten

Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi wa Afrika Kusini kwa kuwaambia "The battle is not over". Yani pamoja na kufungwa kwangu, msife moyo endelezeni mapambano. Lema anatoka mahakamani juzi anawatia moyo wananchi wa Arusha maneno kama yale ya Madiba. Anawaambia "Kuweni na moyo mkuu msiogope". Inaumiza, inasikitisha, inatia hasira. Hasa ukifikiria kwamba haya yanafanyika katika nchi huru, bora Madiba alifanyiwa wakati wa ukoloni. Na hapa ndipo napokumbuka maneno ya Julius Malema kwamba "Not yet Uhuru". [HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG].!
Tanzania hakuna mapambano,hakuna movement,maisha yanaendelea tu watu wanaamka asubuhi salama jioni wanalala salama.

Maisha yanasonga mbele tu,watu wanabet,wanalima,wanavuna,wana soma,wana kula bia,wanaingia kwa ofisi,wanalinda,mikutano ya ndani inaendelea,kesi zinasikilizwa,EPL wanawatch,safari kama kawa n.k

Huku nje shwari tu na juzi nilikuwa na mvua
 
Hakuna aliekuuliza, na hata unachoongea ni hisia zako zimetokana na msukumo kutoka nje. Pole sana, time will tell mtakuja kukana maandiko yenu.
vyovyote itakavyokuwa siasa ndivyo zilivyo zinabadilika kulingana na wakati na matukio kama tu zilivyobadilika kwa upande wa chadema sasa ziko upande mwingine, lakini kabla ya kubadilika hapa kati hali ya chama inakuwaje? then napenda sana mtu anayekuwa huru kufikiri kuliko kufikiri kwa kichwa cha mtu mwingine...!!!
naogopa kutumia muda wangu mwingi kufikiri habari za siasa kwa kuwa walioko ndani ya chama ndio wanaojua nin wanachokifanya wengine kupokea tu maamuzi yaliyofanywa ndani ya chama na kuja tetea kwenye mitandao.
nitakuwa upande wowote ule ambao naona akili yangu inaniambia huu ndio ukweli, ukiona wanaharakati kama wakina john myika wamekuwa kimya lazima ujiulize kuna nini hapo???
 
Back
Top Bottom