Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,179
- 2,813
Kutokana na Mkuu wa nchi kujenga serikali ya wawajibikaji viongozi wafuatao siku zao zinshesabika katika utumishi wa uma.
1. Makonda mkuu wa mkoa wa Dar es salaam huyu bwana kinachoonekana kalewa madaraka anachokifanya kwa sasa ni kuitia aibu serikali na vyombo vyake juzi kati alimtuhumu siro kuchukua rushwa hii ni kulivua nguo jesho la polisi. Baada ya siku mbili akasema watumishi hawafanyi kazi ofisi yake nzima kuna wafanyakazi wasiozidi wanne. Sizonje hawezi kumvumilia huyu bwana.
2. Muhongo waziri wa nishart na madini. Huyu jamaa kasi yake tuliyoiona kwenye awamu ya nne imepotea kwa sasa ni waziri wa kawaida mno kuna kila sababu kuwa hakubaliki jumba kubwa kwa vyovyote vile inatafutwa namna bora ili awapishe wengine.
3. Mwijage waziri wa viwanda. Huyu bwana bila kupepesa maneno hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa sijui ilikuwaje akawa mbunge. Jamaa ana story za vijiweni mara utasikia oooh mwaka jana nilikuwa nagawa nguzo za umeme mwaka huu nagawa viwanda mara oooh vp unataka kiwanda, nadhani mkuu wa nchi atakuwa kaishastuka Tanzania ya viwanda chini ya waziri huyu hata miaka mia hatuwezi kufika.
Kwa serikali hii na Rais huyu hawa watu hawazi kudumu subiri muda kidogo tu watatumbuliwa.