Recent content by Robert James Masunga

  1. Robert James Masunga

    JamiiForums Tanzania Watanzania akipigwa hata mmoja Kenya, sehemu walizowekeza wakenya tuzichome moto haraka sana.

    hiyo ‘na sisi’ una maanisha wewe na nani? jambo hili ni la kidiplomasia siyo mihemko. muache kabudi afanye kazi yake.
  2. Robert James Masunga

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Spika Ndugai kuhusu Makonda imetupa siri tatu muhimu

    kwa mid-fielders wale tukipata hata goli Afcon tushukuru Mungu.
  3. Robert James Masunga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanaume huwa mnawaza nini

    kuonga sunnah [emoji23][emoji23][emoji23] we tulia kwenye ndoa tu acha mbwembwe.
  4. Robert James Masunga

    JamiiForums Tanzania Believe: JPM is on the way. (Amini: JPM yupo njiani)

    viwanda
  5. Robert James Masunga

    JamiiForums Tanzania Sababu za Majini/Mapepo Mengi kutopatana na Nyama ya Nguruwe

    ile nyama inalaumiwa bure tu haina hata hatia [emoji23][emoji23][emoji23] jana tu nimeila na Kili zangu kadha hadi raha
  6. Robert James Masunga

    JamiiForums Tanzania Baada ya Masaa 72, Halima Mdee (Mbunge), ashindwa kutoka Korokoroni

    nayo itafika tu. the good thing with time is you can't stop it. makosa yake ni nini?
  7. Robert James Masunga

    JamiiForums Tanzania Uhujumu Uchumi: Yusuf Manji asomewa mashtaka kitandani... Anyimwa dhamana!

    mambo ya tecno hayo...joto la herufi i linahamia herufi o [emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Robert James Masunga

    JamiiForums Tanzania Uhujumu Uchumi: Yusuf Manji asomewa mashtaka kitandani... Anyimwa dhamana!

    ahahaha. wajiongeze vipi sasa...na wao waumwe au?
  9. Robert James Masunga

    JamiiForums Tanzania POLEPOLE kuzungumza na waandishi leo mchana

    kiki
  10. Robert James Masunga

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    hii sasa ishakuwa mange hide my ID
  11. Robert James Masunga

    JamiiForums Tanzania Zile mbwembwe za Netanyahu kuishambulia Iran zimeishia wapi?

    Iran na waarabu wenzake watimize kwanza ndoto zao za linacha za kuifuta Israel katika uso wa dunia afu waone cha moto.
  12. Robert James Masunga

    JamiiForums Tanzania Meya Ubungo: RC amelazimisha bango la mtaa wa Wanyama kuondolewa, kisa waliomleta ni Clouds Media

    watu wasiotoa japo mchango wa kupiga danadana katika soka letu ndo hao wanajifanya eti wazalendo, my foot! huo mtaa unaitwa V.Wanyama with or without bango.
Back
Top Bottom