POLEPOLE kuzungumza na waandishi leo mchana

POLEPOLE kuzungumza na waandishi leo mchana

Kama kawaida yake atabwabwaja povu zito.
Wazungusha mikono hawawezi kutofautisha hoja na povu.

Kwenu ninyi povu ndio hoja na hoja ndio kelele...tumewazoea na tutahakikisha mnabehave!
 
Kamkomaooo jamani ako kajamaa, n rika la aknamwnyi, kwaiyo tusiwe tunakashaangaa matamko yake
 
Itakuwa habari kama atakuwa anataka kutubu dhambi yake ya unafiki unaotokana na njaa kali aliyokuwanayo!! Tofauti na hilo hana issue.
Hivi kuna wenye njaa kali zaidi ya wale waliopokea fedha za fisadi na kubadili gia angani?

Kuna njaa kali zaidi ya wale madiwani wa moshi na Arusha wanaogomea vikao kisa posho?
 
Kwa hiyo yule jamaa ni mgonjwa?
Hukuangalia mkutano ?Alitamka na kutahadharisha wazi kwamba ni mgonjwa...!rejea video halisi ya mkutano.

By the way hakuna media yoyote uliyotangaza juu ya huo uzushi zaidi ya Great Sinkers from Ukawa waliomo hapa JF.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole atazungumza na waandishi wa habari leo majira ya saa nane mchana katika ukumbi wa Kamati Kuu uliopo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam.

"Ni wajibu wa CHAMA kuwaeleza wananchi Serikali yao inafanya nini na kwanini na hivyo vivyo kuielekeza serikali juu ya maoni na matarajio ya watu" - MWONGOZO WA CCM 1981.
Mkubwa tunakutegemea kwa updates
 
Hukuangalia mkutano ?Alitamka na kutahadharisha wazi kwamba ni mgonjwa...!rejea video halisi ya mkutano.

By the way hakuna media yoyote uliyotangaza juu ya huo uzushi zaidi ya Great Sinkers from Ukawa waliomo hapa JF.
Yule ni mlevi kila mtu aliona,kwa hiyo ccm walimdhalilisha mgonjwa ili tu wapige propaganda?
 
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wameshafika ukumbini na karibuni Mwenezi Ndugu Polepole ataanza kuzungumza nao.
 
_20170629_180545.JPG
 
Kesha chuja tayari hapa chama hakina mtu ukikataa twende na muda utatuambia wenyewe
 
Hivi kuna wenye njaa kali zaidi ya wale waliopokea fedha za fisadi na kubadili gia angani?

Kuna njaa kali zaidi ya wale madiwani wa moshi na Arusha wanaogomea vikao kisa posho?
Fisadi ni Magufuli aliyeuza nyumba za serikali na kugawia vimada kuna thread humu inaeleza kinagha ubagha ufisadi wake yaani kwa ushahidi wa wazi kabisa
 
Back
Top Bottom