Robert James Masunga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 414
- 395
Iran na waarabu wenzake watimize kwanza ndoto zao za linacha za kuifuta Israel katika uso wa dunia afu waone cha moto.Jamani mi nahoji zile ndaru za netanyahu na israel kutishia kuishambulia iran toka mwaka wa 1980 mpaka leo mbona haijawaho kutokea?
Mbona israel hajarusha hata risasi?
Nimeamini israel ni weak state.