Recent content by Robert greene

  1. Robert greene

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

    Unaanza kwa kuwa na kadi ya chama cha kijani.
  2. Robert greene

    JamiiForums Tanzania Raha unayoipata ukiwa na babe wkt wa kusafiri na ndege

    Kupanda ungo mkiwa uchi does it count?
  3. Robert greene

    JamiiForums Tanzania Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

    Konkii simba
  4. Robert greene

    JamiiForums Tanzania Kwenu wataalamu wa ufugaji.

    Kwanini kuku hukimbia kabla ya kupandana? Hii ina maana gani kitaalamu?
  5. Robert greene

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

    Kweli sheria msumeno.
  6. Robert greene

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wakubwa

    Hahahahaha, mpe hela
  7. Robert greene

    JamiiForums Tanzania Tupo karne ya 21 yani miaka 3000 duniani wamisha pita Ma Pope 265 na huyu aliyopo ni wa 266 inakuwaje hamna hamna Pope mweusi (mwafrika) hata 1 tu.

    Ukatoliki ulianza kuenea africa karne ya 17 huko ila ulishamiri sana karne ya 19 hadi ya 20 tena ulitumika kama njia ya kupenyeza wakoloni kututawala zaidi, na leo ni karne ya 21, tunapoenda papa mweusi atapatikana tuu.
  8. Robert greene

    JamiiForums Tanzania Majina ya kike romantic

    Amber rutty.
  9. Robert greene

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta mwanaume nimekutana na mwanamke msagaji akanitenda

    Ukachokonolewa wapi kaka?
  10. Robert greene

    JamiiForums Tanzania Wanaume muda mwingine wanaboa sana

    Hahahah, haya bwana, ngoja nikalale guest.
  11. Robert greene

    JamiiForums Tanzania Wanaume muda mwingine wanaboa sana

    Nielekeze sasa jamani nije kukutembelea ili nikalale guest, 2019 hii jamani.
  12. Robert greene

    JamiiForums Tanzania Wanaume muda mwingine wanaboa sana

    Sio wote jamani, mie naomba nije kukusalimia na nipo tayari kulala guest house.
  13. Robert greene

    JamiiForums Tanzania Hiki kitu kimenistaajabisha na kunifikirisha sana.

    Anaongelea Tanzania tena ni serikali ya Tanzania, ndio maana nimemjibu hvyo, na maana yangu ni kuwa serikali yetu haiangalii umesoma wapi na ulikuwa unalipa kaisi gani
  14. Robert greene

    JamiiForums Tanzania Hiki kitu kimenistaajabisha na kunifikirisha sana.

    Kwani serikalini mwenye degree ya havard na ya udom, wakiwa na cheo kimoja watalipwa tofauti kisa ada ya vyuo walivyosoma?
Back
Top Bottom