Msaada wenu wakubwa

Msaada wenu wakubwa

Yuko sahihi mpleke hotel kali sana ale bata then mgongee...hko ndo kugharamia so unakulia mzgo geto

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Atoe hela, ndio uanaume

Nyie wadada mnaotuomba hela kabla ya kutugea papuchi hamna mapenzi ya kweli, tukiwaoa mnaweza hata kutuwekea sumu kwenye chakula, kutuzalia watoto ambao sio wetu, au kutukimbia tukishaanza kuishiwa hela.. demi
 
Nyie mnakula papuchi hlf mnasepa, Bora ulipie Kwanza
 
Nyie mnakula papuchi hlf mnasepa, Bora ulipie Kwanza

Hahaa ww mwongo, hiyo sio sababu, mbona wanaume mnaowapenda hamuwafanyiagi huo uhuni, hlf sometimes kwa mentality hiyo ya kusema ailipie papuchi coz atakuja kukuacha, unaweza ukajifukuzia mwanaume wa maana

Hata nkila papuchi hlf nikasepa, raha c tuliipata wote demi
 
kwanza huyo si demu wako ndo mmeanza mahusiano,nazani hata mwezi hayana.we unataka papuchii afu papuchii wezako hawaombi kibwege hivyo!! jitaaidi kutoa pesa mjombaa acha ubahili
 
Hahaa ww mwongo, hiyo sio sababu, mbona wanaume mnaowapenda hamuwafanyiagi huo uhuni, hlf sometimes kwa mentality hiyo ya kusema ailipie papuchi coz atakuja kukuacha, unaweza ukajifukuzia mwanaume wa maana

Hata nkila papuchi hlf nikasepa, raha c tuliipata wote demi
Tatizo ni kwamba hakuna anayemuamini mwenzake, mwanamke anajisi atachezewa bure na mwanaume vile vile, kumpata mwenza sahihi ni bahati nasibu
 
Dogo hapo huna mpenzi ila una rafiki na siku zote rafiki anaweza kuwa na rafiki yake mwingine,, huyo demu wako anaonekana anawapa penzi lake watu wanaomgharamia tu na si vinginevyo kuwa makini na mtu wa namna hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom