Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Ukiwa unapagawa na vitu vya kijinga,
Wataendelea kukufanyia hvo daima.
Being good judgemental, utajua mwanaume anae faa na asiye faa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hawanipati Ng'oo!!
Mwanaume wa mtandaoni sitaki acha nibangaize na wa mtaani hata mwaka mzima anavumilia.
Wa mtandaoni kukutana tuu kujuana na papuchi anataka ...! Akishakuwa wa mtandaoni Mimi hanifai sina haja ya kujudje mkuu.
 
Mimi nachukua siku 3 tu kujua tabia ya msichana yote.
Pia naweza kumuomba sex siku ya nne.

Sasa wew ukipata boy anae faa,

Wew huna hisia hadi umchape calendar ndefu hvo????

Mapenz mwanzo yanakuaga matamu balaa, hisia kama zote.

Kwako vip?

Wee wengine wanakubali kwamba hamna kitakachotokea. Na analazimisha kulala na akiahidi hatokufanya chochote. Ina maana mkuu tabia zenu hamzijui au?
Ni waelewa sana! Sema akili ziki hamia kichwa cha chini ....huwa hakisikilozwi kitu! Ila inategemea mtu na mtu msi generalize wanaume wote mnakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nachukua siku 3 tu kujua tabia ya msichana yote.
Pia naweza kumuomba sex siku ya nne.

Sasa wew ukipata boy anae faa,

Wew huna hisia hadi umchape calendar ndefu hvo????

Mapenz mwanzo yanakuaga matamu balaa, hisia kama zote.

Kwako vip?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi napenda tukiwa wapenzi tujigijigi hata baada ya miezi sita.
Ndiyo nitasikia utamu na nitakuwa huru na kileleni nitafika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom