Recent content by robby un

  1. robby un

    Dark arts za intellijensia II: Uchawi na kiini macho kwenye uwanja wa vita

    Uzi umenyooka huu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. robby un

    Je, shule zikifunguliwa tarehe 01/06/2020 utaruhusu mwanao aende?

    Duh umetisha Sent using Jamii Forums mobile app
  3. robby un

    Hizi sio ndoto za kawaida

    Mshana, mm Jana nimeota namba ya simu fulani nilipoamka nikajaribu kuipigia namba hiyo ikaita na mtu akapokea japo sikumfahamu sasa ndoto hii ina maana gani brother Sent using Jamii Forums mobile app
  4. robby un

    TANZIA Rais wa Wanafunzi Ndaki ya Elimu UDOM afariki dunia

    RIP polen sana COED Sent using Jamii Forums mobile app
  5. robby un

    Yu wapi aliyekuwa nyota wa muziki Tanzania MB Dog, mkali wa malavidavi?

    [emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. robby un

    Yu wapi aliyekuwa nyota wa muziki Tanzania MB Dog, mkali wa malavidavi?

    Dahh huyu mwamba alikua anaupatia sana mziki Sent using Jamii Forums mobile app
  7. robby un

    Yu wapi aliyekuwa nyota wa muziki Tanzania MB Dog, mkali wa malavidavi?

    Kivipi KENZY Sent using Jamii Forums mobile app
  8. robby un

    Yu wapi aliyekuwa nyota wa muziki Tanzania MB Dog, mkali wa malavidavi?

    Huyu mkali wa malovedavi kati miaka ya 2006/7 yu wapi make ngoma zake hadi leo hii ukizisikiliza bado ni za moto haswa japo hatumskii wala kumuona mitandaoni. Je, ndio kusema Tip-top connection wamemsahau ama yupo wapi kwa sasa. Kastaafu mziki ama anafanya nini? Mwenye kujua taarifa za mkali...
  9. robby un

    Mafuta ya taa ni dawa?

    Sawa wakuu nafanya ivo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. robby un

    Mafuta ya taa ni dawa?

    Ndugu poleni na majukumu naomba msaada wa mawazo juu ya hili. Leo katika harakati zangu za kuusaka mkate wetu wa kila siku nimevamiwa na kung'atwa na mbwa jike anaesadikika ana watoto wadogo ambao hataki mtu awasogelee. Nimeongea na mmiliki wa mbwa huyo kanihakikishia kuwa mbwa wake hana...
  11. robby un

    Mke mwema nakutafuta

    OK dingimtoto Sent using Jamii Forums mobile app
  12. robby un

    Mke mwema nakutafuta

    Usiamini sana ivo mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. robby un

    Mke mwema nakutafuta

    Hey, Natafuta mke alietayali kutengeneza familia mwaka huu 2019 kuanzia leo jan 26-hadi mungu atakapotuita. SIFA ZAKE 1. awe mkweli 2. asiwe mzuri sana 3.awe maji ya kunde/ mweupe kias 4.kama ameshazaa ni vizuri zaidi 5. Umri 18-28 SIFA ZANGU 1.nmkweli na mwaminifu 2.mrefu kias...
  14. robby un

    Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

    Its among of the best thread 2018 isifutwe Sent using Jamii Forums mobile app
  15. robby un

    Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

    Mzee baba hao viumbe n pasua kichwa mm nilishaachaga kuwaelewa siku nyingi sana Kama kweli yupo hivo achana nae tafuta mwingine alafu yawezekana anakuzid elimu
Back
Top Bottom