Point yangu mkuu nachokiona wananchi wengi hata chadema hawaijui vizuri wanachokifuata ni mtu tuu Lowassa kwenye fomu hiyo watatafuta picha yake na kuweka tick bac
Kwa faida ya familia gani ndugu ukweli maisha yetu wengi ni magumu sana kazi za maana hakuna mishahara haikutani ni shiida kuanzia unapoamka asubuh mpaka unalala
Toyota hiace zinaweza kufungwa injini ya 2y,3y,1rz,2rz na 3rz kwa matumizi ya mafuta ya petrol na 2l,3l,5l,1kz na 2c kwa matumizi ya mafuta ya diseli.Engine rahisi kidogo kati ya zote hapo ni 2y na 3y
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.