Duuh......! wewe Bashe nini!?
HK
Mama HELLENA ELINAWINGA kaamua kazitelekeza fomu zake pale ccm makao makuu Dododma, anadai amechoka kuombwa rushwa.. Ha!ha!ha! Nchi ngumu hii hawajui watu wanataka pesa kabla ya sera?
Wenzie wanapata maelfu yeye hata 450 kakosa?Aaaaaahh kumbe jamaa alidandia treni kwa mbele
labda hela tatizo
Duh!
HK.
Halafu kwenye foleni ya watia nia wa ccm yeye ndio katangulia mbele. Mchoraji wa ile katuni sijui aliwaza nini !!!!!