Mambo ya Kipanya -mbio za Ikulu kila mtu na lake hata wapambe

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,331
2,000
Ndugu mgombea usifikiri ni wewe tu unaupenda urais.Kuna "wagombaniaji" wengi wapo nawe,natabasamu kwa sauti bado!
 

HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,284
2,000
Kweli wengi wao kinachoweka ni uchu tu wa madaraka lakini utendaji mara nyingi inakuwa kitendawili
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom