Kwa yeyote mwenye access na mamlaka zinazohusika na kusimamia mazingira na afya makazini, ninaomba asaidie kufikisha taarifa hii. Ni miezi mitatu sasa tangu Viyoyozi (Air Conditioners) katika tawi hili (NMB Ifakara Branch) viharibike na hakuna hatua za makusudi zimefanyika kurekebisha hali hii...

Mimi nimesoma SUA kwa vipindi viwili. Malazi yanapatikana kama utawahi kureport. Ukichelewa utapaswa kutafuta nje ya chuo. Kuhusu kozi gani usome nadhani kwa sasa haitasaidia maana umeshafanya selection tayari
Ndugu Wanajukwaa,
Muda sio mrefu kuna tukio la kutisha limetokea hapa kijijiji cha Msolwa ujamaa, Wilaya ya Kilombero. Tukio hilo limefanywa na vijana wawili wadogo ambao wametoweka baada ya kufanya tukio hilo.
Vijana hao walikodisha pikipiki wakitokea Ruaha na wakamwambia dereva wa pikipiki...
Mkuu mimi sio Daktari lakini nadhani wanastahili walipwe kiasi hicho naamini inawezekana.
1. Kwanza ni watu ambao hawana muda maalumu wa kufanya kazi, muda wowote wanaitwa kuokoa maisha yetu bila kujali kama amelala au la.
2. Miaka ambayo anakua amespendi chuo akijifunza na pia na aina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.